The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
So Masanja Kadogosa ambaye ndiye mkuu pale TRC muongo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kwhyo tukikuletea habari kutoka the citizen kuhusu kenya mtazikubali sio[emoji1787][emoji1787]
Mbona za madaraja mnaleta kutoka kw serekali, ile siku utaleta data za serikali km mnanunua hzo natoka jf[emoji1787][emoji1787]
Nataka ripoti ya tender tu kutoka kw serekali na mnanunua ngapi kw shingapi
Sent using Jamii Forums mobile app