Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii mbn hujajibu
EYB-ZVNXgAECezW.jpeg
 
Nchi yetu bana tuendelee tu kuipambania lakini kuna vitu vinafanyika vinakatisha tamaa. Kuna watu wengi tu wameitendea makubwa nchi lakini hawapewi kipaumbele. Leo huyo babu mfugale amekua kila kitu. Kwa nini wasingeita burigi national park ?
Nilidhani ni Magufuli pekee kumbe na mfugale pia anapewa shavu, ss mbn hayo ni mambo madogo madogo yanakatishaje tamaa ss.
 
Nimekuambia JKIA pekee yake inapokea abiria wengi kushinda airport zenu zote
Unaongelea suala la kupokea abiria, jambo ambalo ni mkakati tu ukiweka vzr mambo yanajipa km tunavyofanya kwa ss.

Mm naongelea ukubwa na quality ambazo tumejenga, hv ww kwa akili zako tujenge maviwanja makubwa hvyo alafu yawe idle? Hakuna nchi EA itafikia Tz kwa pax ktk airport km tutakuwa serious km ss.
 
Narudia tena in east and central Africa Kenyan companies dominate
Tanzania pekee iko na 529 Kenyan companies maswali mengi muulize magufuli
asante kwa kuja mzee wa kudominate....

huku evidance ukikosa umeishia kupigwa za uso ty
 
Back
Top Bottom