Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Just like in the US and the whole western world pension funds invest! Name me one tower built by GoT aside its offices in Government city in Mtumba Dodoma!

Wacha usenge wa kupotosha all the tall buildings in Dar have been built by parastatals (NSSF, LAPF, PSPF e.t.c) or government agencies (NIDA, TPA, TTCL, TCRA e.t.c) and not GoT directly the same thing is happening in Kenya and worst enough stalled as corrupt officials have fleased the funds!

Unajifanya unajua kumbe fala wa kupotosha! KPA Mombasa na NSSF Nairobi nani kajenga? Kenya teleposta, KICC? Au unatufanya sisi wafala kama wewe? Wivu unakusumbua kuona miradi ya taasisi za serikali wakati kwenu taasisi zinashindwa ku-invest!

Kwa hiyo unataka kuniambia hili jengo halijajengwa na CA of Kenya?
Communications-Authority.jpg

And what's the problem if TCRA builds its own office?
Dsw2UyKWoAEkZq4
 
Tz private sector ni hafifu ndo maana serikali ilipositisha ujenzi wa magorofa nayo real estate yao ikacollapse
wewe ni choko wa wapi hapo dar kuna several buildings of over/under 20 floors by private sector from Uhuru heights to viva Towers to Harbor view tower to Exim Bank to Sky Tower to Ramada encore to Golden Tulips city center, to MNF tower, to Samora Tower u name it!
 
Wewe umechanganyikiwa. Tanzania iliwacha kuwa nchi ya kijamaa zaidi ya miaka ishirini iliyopita. Wewe hata hujui historia ya nchi yako. Yaani bado unafikiri kuwa Tanzania ni socialist country? Baada ya Mwalimu Julius Nyerere kufariki, Watanzania walikaa chini na kujadiliana na kukubaliana kuwa mfumo wa ujamaa sio nzuri kwa uchumi wa Tanzania na Tanzania ikaamua kubadili mfumo wa uchumi kutoka socialist hadi capitalist. Jifunze historia ya nchi yako kabla uje kudebate na mimi.
Hao watanzania walikaa wapi!? Hebu tuambie na sisi tuweze kujifunza. Unao ushahidi!?
 
Serikali yoyote lazima iwe stronger kuliko private sector, kinyume chake matajiri watakua na nguvu kuliko viongozi kama ilivyo huko Kenya, viongozi ni vibaraka wa matajiri, wananchi wa kawaida wanateswa na kunyanyaswa na matajiri na hawana wa kuwatetea.
Serikali haistahili kufanya biashara sana. Biashara wachieni private sector.
 
Wewe umechanganyikiwa. Tanzania iliwacha kuwa nchi ya kijamaa zaidi ya miaka ishirini iliyopita. Wewe hata hujui historia ya nchi yako. Yaani bado unafikiri kuwa Tanzania ni socialist country? Baada ya Mwalimu Julius Nyerere kufariki, Watanzania walikaa chini na kujadiliana na kukubaliana kuwa mfumo wa ujamaa sio nzuri kwa uchumi wa Tanzania na Tanzania ikaamua kubadili mfumo wa uchumi kutoka socialist hadi capitalist. Jifunze historia ya nchi yako kabla uje kudebate na mimi.
Acha kuongea usicho kijua, Tanzania bado inamiziz mingi ya kijamaa, pia hatujawai kuwa pure capitalist na haitakuja tokea , kitu tumefany n mix hii mifum miwili
 
Wewe ni mpuuzi na mjinga kaa kimya usitake tufanane.

Hivi MNF more than 30fl ni ya baba yako!?
Nimesema unitajie skyscrappers tatu za private sector zenye more than 25 floors, sio moja tu. Fala wewe.
 
Wacha masihara ...embu taja skyscrapper moja iliyo jengww na serikali moja tu...
Unajua ninachomaanisha. Wacha kujifanya kwamba huelewi. Hizo pension fund za kiserikali sio private sector. Wacheni ujinga. Private sector ni kama Tanzania breweries Ltd au Tigo au Airtel
 
Nitakuonyesha nani fala kati yangu na wewe. Hapa Kenya sectors zote mbili zinajenga skyscrappers, sio kama huko kwenu ambapo public sector ndio inajenga skyscrappers sana. By the way neno serikali ina jumlisha hata parastatals na pension funds za kiserikali. Neno private sector inamaanisha kampuni za kibinafsi kama Tigo, Vodacom TZ, Airtel TZ, CRDB bank, NMB bank, Tanzania breweries Ltd na kadhalika. Nipe picha tatu za skyscrappers (with more than 25 floors) Dar ambazo hazijajengwa na halmashauri yoyote ya kiserikali au pension fund ya kiserikali.
Halafu mimi nitakupa list ya skyscrappers zilizojengwa na private sector hapa Kenya.
Fool, those companies are not private but public companies as are listed! endeleza ufala!
 
Wewe umechanganyikiwa. Tanzania iliwacha kuwa nchi ya kijamaa zaidi ya miaka ishirini iliyopita. Wewe hata hujui historia ya nchi yako. Yaani bado unafikiri kuwa Tanzania ni socialist country? Baada ya Mwalimu Julius Nyerere kufariki, Watanzania walikaa chini na kujadiliana na kukubaliana kuwa mfumo wa ujamaa sio nzuri kwa uchumi wa Tanzania na Tanzania ikaamua kubadili mfumo wa uchumi kutoka socialist hadi capitalist. Jifunze historia ya nchi yako kabla uje kudebate na mimi.
Hahahaha, kichaa wewe, nchi gani ya kibepari ambayo ardhi ni mali ya serikali?, huduma za jamii ni bure kwa kiasi kikubwa?. Tanzania tulichoruhusu ni private sector na kubinafsisha baadhi ya mashirika ya umma ambayo yalikua yanafanya vibaya, sisi ni wajamaa kama ilivyo China, msijaribu kutuingiza katika siasa zenu za kipumbavu za kibepari, stupid.
 
Unajua ninachomaanisha. Wacha kujifanya kwamba huelewi. Hizo pension fund za kiserikali sio private sector. Wacheni ujinga. Private sector ni kama Tanzania breweries Ltd au Tigo au Airtel
Kijana nimekwambia acha ujinga
Tanzania ni kubwa mno na imeizidi kenye bali mno kwenye masuala ya policy.
Nakuomba ujifunze na usome masuala ya international economy.

Pili Tanzania tumepitia katika hatua zote za uchumi. Hayo unayoyasema tumeshayafanya yakatuletea hasara nyingi tu.

Miaka ya 1995 hadi 2005 tulikuwa na sera za privatization zilifanya taifa letu lirudi nyuma na kuwa ombaomba.

Sasa hivi miradi yote ya kimkakati, lazima isimamiwe na umma.

Mambo ya majengo ni issue ndogo sana kijana. Taifa linalojitambua haliwezi kujilingishia majengo.
Sera za Tanzania zipo wazi sana kwamba hakuna limitation ya kujenga. Ndio maana sisi watanzania nyumba nyingi za makazi wamejenga watu binafsi. Tofauti kabisa na kwenu mkenya binafsi hawezi kujenga nyumba yake mwenyewe.

Unatakiwa ukubali siyo ubishani wa kijinga.

Hapa Tanzania kuna China Plaza, CRDB Tower, NMB Tower, Umoja wa Vijana nk. Sasa sikuelewi kinachokuuma ni nini!?
 
Back
Top Bottom