Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Si nyie mnajifamya wababe na kuwambia wakandarasi wamalize miradi haraka iwezekanavyo..
Sgr imekuaje tena
Au hamna hela
Kama tumetoa $3B kwa ajili ya Ujenzi wa bwawa la Umeme, tutashindwaje kutoa $1.9B?. Hilo neno la kukosa pesa huku Tanzania tulishalisahau muda mrefu sana, huwa tunasikia wakenya wakilitumia mara kwa mara. Tanzania hoyeeee
 
ila deni la mkulima mdogo mnashindwa kulipa hadi ndege zenu zinazuiwa kutua SA...danganya toto jinga
 
ila deni la mkulima mdogo mnashindwa kulipa hadi ndege zenu zinazuiwa kutua SA...danganya toto jinga
Lazima tujiridhishe uhalali wa yeye kulipwa, Tanzania inaongoza Africa nzima kwa matumizi bora ya pesa za serikali, ndio sababu tunazo pesa nyingi za kutekekeza miradi mikubwa, sisi sio Kenya ambako pesa za setikali na pesa za misaada zinachotwa hovyo na wahuni, pesa ya Kenya 50% inatumika kulipia hewa.
 
Kama Kigamboni iliwatoa kamasi hii Magufuli Bridge itawatoa nyongo na Tanzanite bridge imalizia mainiView attachment 1662325

Me hata nilikua nawashangaa wabongo waliokua wakidebate nao kuhusu ile footbridge likoni

hata ukilinganisha likon footbridge na hio supporting bridge for mighty Magufuli bridge .. hio supporting bridge ni bora na nzuri zaid ya likon bridge
 
Screenshot_20201229-203418.jpg
 
actually streaming-wise Diamond Platnumz has over 1.2 bln streams!

Streaming video is content sent in compressed form over the Internet and displayed by the viewer in real time. With streaming video or streaming media, a Web user does not have to wait to download a file to play it. Instead, the media is sent in a continuous stream of data and is played as it arrives. The user needs a player, which is a special program that uncompresses and sends video data to the display and audio data to speakers. A player can be either an integral part of a browser or downloaded from the software maker's Web site.

hata ukilinganisha likon footbridge na hio supporting bridge for mighty Magufuli bridge .. hio supporting bridge ni bora na nzuri zaid ya likon bridge
Exactly hii temporary bridge inabeba vifaru, cranes, ma-winch u name it! Wakati Likoni footbridge hata tuktuk haipiti!
 
Back
Top Bottom