Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,077
- 4,525
Ila Tanzania inakimbia
Daaah wakenya bwana🙄 hapo ndo hua mnatuacha hoi ASA si malls vitu vya kujengwa tu kama Barabara,Bora mkejisifia madini/rasilimali ambazo hazipatikani sehemu yeyote Ile duniani mzima hapo Sawa,labda nikunyooshe Brother siku hizi watu hawafanyi shopping kwa malls sijui umenielewa Yani kiufupi kila kitu Kipo online unaagiza unaletewa mpaka mlangoni iwe mswaki iwe meli Sawa🙂malls watu wanaenda kwa ajili ya leisure, experience,social life ndio kuna watu wanaenda shopping Ila sio kivile kama zamani ,kuna nchi zina malls duniani mzima kama China, Malaysia, Singapore,America Philippines etc? Mambo siku hizi onlineAfrican countries with many malls
View attachment 1662084
Mamayoo eti Dar inachapa akina Nairobi,joburb,na cape Town kwa development,,hii list I think is not based in ranking,,they just picked randomly the developed citiesWamemaliza utata nadhani hii battle ishakwisha [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1662113
Eti na ndiyo the best of all,hii ata haiwezi fikia ya MombasaStation imefinywa sana, kwani ardhi hamna. 👇 👇👇🤣View attachment 1662115
Utajua hujui,,malls za Kenya si shopping pekeyake naniiDaaah wakenya bwana🙄 hapo ndo hua mnatuacha hoi ASA si malls vitu vya kujengwa tu kama Barabara,Bora mkejisifia madini/rasilimali ambazo hazipatikani sehemu yeyote Ile duniani mzima hapo Sawa,labda nikunyooshe Brother siku hizi watu hawafanyi shopping kwa malls sijui umenielewa Yani kiufupi kila kitu Kipo online unaagiza unaletewa mpaka mlangoni iwe mswaki iwe meli Sawa🙂malls watu wanaenda kwa ajili ya leisure, experience,social life ndio kuna watu wanaenda shopping Ila sio kivile kama zamani ,kuna nchi zina malls duniani mzima kama China, Malaysia, Singapore,America Philippines etc? Mambo siku hizi online
Malls niza middle class, kama hakuna jua middle class ndogo. Unapinga.Daaah wakenya bwana🙄 hapo ndo hua mnatuacha hoi ASA si malls vitu vya kujengwa tu kama Barabara,Bora mkejisifia madini/rasilimali ambazo hazipatikani sehemu yeyote Ile duniani mzima hapo Sawa,labda nikunyooshe Brother siku hizi watu hawafanyi shopping kwa malls sijui umenielewa Yani kiufupi kila kitu Kipo online unaagiza unaletewa mpaka mlangoni iwe mswaki iwe meli Sawa🙂malls watu wanaenda kwa ajili ya leisure, experience,social life ndio kuna watu wanaenda shopping Ila sio kivile kama zamani ,kuna nchi zina malls duniani mzima kama China, Malaysia, Singapore,America Philippines etc? Mambo siku hizi online
Naona[emoji1787][emoji1787]Sivyo kaka, huyo jama amepanua mguu alafu akakualika. Senge hilo.
Duh!!sauz bana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]African countries with many malls
View attachment 1662084
Mchina acahana nae kabisa[emoji122][emoji122]Passengers at Mombasa SGR terminus
View attachment 1662079
Ndio manake deni limeongezeka bongowakiona vitu kama hiv vilivyolipiwa cash [emoji383] .. mavi yao mda huohuo yanagonga vyupi (jaribu kuwaza mavi yanagonga chupi[emoji23][emoji23])
View attachment 1662233
Nisawa kapitiliza ila quality unaionaje? Mana inatarajiwa mwezi wa nne kuwa tayariHahaha. Kama Malazy wangempa Mchina huu mradi wa SGR basi mradi wenyewe ungekuwa ulishakamilika mwaka uliopita kulingana na ratiba. Lakini Mturuki amepitiliza deadline ya 2019 na sasa 2020 pia imeisha kabla ya kilomita 200 kukamilika.
Geza Ulole joto la jiwe
Lakini angejenga reli chini ya kiwango kwa gharama kubwa sana kama alivyowajengea Kenya na Ethiopia, very low quality job[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha. Kama Malazy wangempa Mchina huu mradi wa SGR basi mradi wenyewe ungekuwa ulishakamilika mwaka uliopita kulingana na ratiba. Lakini Mturuki amepitiliza deadline ya 2019 na sasa 2020 pia imeisha kabla ya kilomita 200 kukamilika.
Geza Ulole joto la jiwe
Wewe unasema nini? Umeona stations zenu jinsi zinavyofanana?Lakini angejenga reli chini ya kiwango kwa gharama kubwa sana kama alivyowajengea Kenya na Ethiopia, very low quality job[emoji23][emoji23][emoji23]
Quality vs Design [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe unasema nini? Umeona stations zenu jinsi zinavyofanana?