Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

35 tonnes Axel load .vs. 25 tonnes load

Full automatic driving System .vs.
Manual driving System.

10,000 tonnes per train .vs. 4,000 Tonnes per train

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuongee kuhusu stations babaa.
 
Mmhh...
289EF3E8-CC7A-40E6-835F-70AACF98A387.jpeg
6FA4F838-2116-4050-B3CB-D6586DF4C750.jpeg
 
Na mbona haijakamilika bado? Naona Mturuki anazidi kuwachezea shere.
Katika usafiri wa barabara, vitu vinavyoangaliwa ili kuthaminisha ubora wa usafiri wa barabara ni
1)Barabara
2)Gari

Bus stages are just supporting, you can do without them, like the way you do in Kenya, the same applies to railway[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa nashindwa kukuelewa mkataba was ujenzi wa reli yetu toka Dar mpaka Morogoro ni miezi 36, wapo ndani ya muda. Wanategemea kukabidhu 2021 mwezi wa saba.

Tuliza hicho kikeketwa muda ukifika utakunwa tu.
Ilikuwa ikabidhiwe mwisho wa 2019. Wacha uongo
 
Kwasababu wanazingatia ubora wa kazi, sio kama huko kwenu, mvua kidogo tu, kingo za reli zinaondoka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hivyo wana ruhusa ya kuijenga hadi mwaka wa 3020 bora tu quality iwe juu?
 
Sasa nashindwa kukuelewa mkataba was ujenzi wa reli yetu toka Dar mpaka Morogoro ni miezi 36, wapo ndani ya muda. Wanategemea kukabidhu 2021 mwezi wa saba.

Tuliza hicho kikeketwa muda ukifika utakunwa tu.
Mm nawashangaa sana Wakenya, wanalalamika kwamba reli yetu imechukua muda kukamilika wakati yao imeanza kabla yetu na haijaisha mpk leo.
 
Back
Top Bottom