Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Manina hehehehe [emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116] ITV inakusubiri
View attachment 1653628
Toa kibanda hapa[emoji23][emoji23][emoji23]

KTN
images%20(9).jpeg
images%20(10).jpeg
 
Azam ndio ina studio ghali zaidi afrika mashariki na kati kama ulikua hujui nikupe taarifa basi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Maybe studio ghali Tanzania na Malawi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ww hunaga point kazi yako ww nikubisha kila kitu kwasababu umejaza funza makalioni
Sasa unataka nikubaliane na kitu umejifikiria?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yeah, that's what's being done everywhere around the world. This is Singapore and Johannesburg.View attachment 1653231View attachment 1653232
Swala la Johannesburg michoro sio the whole road hata hiyo uliyoshare imetengwa
Johanesburg.png

Pia tofauti iko hivi, hawa walilazimisha kwakua njia imepitia makazi ya watu swala ambalo lingetukuta posta but tukatafuta njia ambayo haikua muhimu tukajenga mahsusi kwa BRT.
Ila kwa thika naamini mgekua na uwezo wa kifedha mngebomoa hizo lane mkajenga njia ya BRT badala ya kuchora then mkafidia kwa kujenga lane nyingine pembeni
 
Back
Top Bottom