Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

medium_REdI9CcRgR6LqFL9ZbyPqgV1VskUXONRRJO8YPphN-U (2).jpg
 

Nchi inapokea Backpackers mwenye Godoro la kulalia popote na hadi bakuli la kupikia popote alipo. Hata yupo radhi atembee au aombe lift, Atalipa tu vijisenti kwenye entrance au Hiyo 50 Usd ya Visa.

Hotel zenu au Hospitality business zingine zitaisikia kwenye bomba hela zake. Kwa nini usipokee hivyo Vidollar .

IMG_4286.jpg

IMG_4285.jpg



Tourism in Middle income Country.

Low density, High Quality, High Priced tourist products.

Angalia hapa hizi ndege Parking na Landing fees tu kwa siku hapo mtonyo wake ni backpackers laki tano Kenya

IMG_4287.jpg
 
Back
Top Bottom