Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Akili kubwa siku zote hai risk kijinga jinga..
We pia ukitaka njoo upewe shares zako ilimradi na wewe utu boost kw kodi
Ndio maana hamuwezi kujiemdesha
Mapato yenu ya kodi ni haya hapa:-
Screenshot_20201227-155033.png
 
Lamu port ambayo iko zaidi ya 90% complete? Wacha mchezo. By October Lamu port itakuwa imeshakamilika. Afterall berths mbili zimeshakamilika. Imebaki berth moja tu. Halafu hizi ni the biggest berths in Africa kwa hivyo ukumbuke hilo.
As far as i know, Lamu is not 90% complete even the first berth having no cranes and necessary machinery and containers Godowns!
 
Kapumzike kwanza, muache mukulu ahangaikie swala la kodi akafanikiwa..
Lkn watu km nyie ndio mtarudisha nyuma heri mulale kwanza
sawa napumzika na ninamuacha mukulu ahangaike na masuala ya kodi.....
simshikilii tena
 
endeleeni kujidanganya hata barabara hamna ku-connect lamu na hinterlands!
Nimekuwekea evidence kibao kuhusu jambo hili. This time nataka wewe ndio uproove kwamba hakuna barabara inayoconnect Lamu port na hinterland.
 
Back
Top Bottom