The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Hawa wacheza show ndo mnawashindanisha na JWTZ hawa, ona walivyo washamba wanaleta mambo ya Arnold [emoji2][emoji2][emoji2]
Hawa wacheza show ndo mnawashindanisha na JWTZ hawa, ona walivyo washamba wanaleta mambo ya Arnold [emoji2][emoji2][emoji2]
hakuna ambacho wanaweza kusimama alone kwa kifupi kenyan government haina miradi binafsi ya kimkakati yakuingizia seriakali mshiko mrefu zaidi ya kukusanya kodi tu....nimeanza kuona Kenya hakuna kitu/shirika wanaimiliki kwa asilimia mia moja!
Tanzania, kuna vingi tu tunaviendesha wenyewe mfano ATCL, TTCL etc
sasa imagine hao foreign investors wanajiondoa kwenye hizo investment partnership [emoji1438][emoji3603]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]Hawa wacheza show ndo mnawashindanisha na JWTZ hawa, ona walivyo washamba wanaleta mambo ya Arnold [emoji2][emoji2][emoji2]View attachment 1660421View attachment 1660422
Nenda kajiunge na alshabab tukuzike mwakani[emoji1787][emoji1787]
Toa ujinga hapa, BRT mnaijua gharama yake nyinyi au mnaleta upuuzi humu.Render ya Brt
View attachment 1660387
eti anadai ipo bongo hiyo ,,,, nimecheka ,,kumbe huwa wanaongeaga vitu wasivyovijua...leo nimecheka sana ...Brookside ipi hiyo [emoji23][emoji23][emoji23]
Kodi ndio kila kitu kw nchi, au unafikiria nchi inajiendesha na km biashara eti mpka usubirie faida..hakuna ambacho wanaweza kusimama alone kwa kifupi kenyan government haina miradi binafsi ya kimkakati yakuingizia seriakali mshiko mrefu zaidi ya kukusanya kodi tu....
wapo mahala pabaya sana
Umepanic[emoji122]Toa ujinga hapa, BRT mnaijua gharama yake nyinyi au mnaleta upuuzi humu.
kwa hiyo mkawapeleka photo shop kupiga picha...[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23] au walikuwa location kuandaa movie ya street war na hilo ndiyo cover lenyeweHawa wacheza show ndo mnawashindanisha na JWTZ hawa, ona walivyo washamba wanaleta mambo ya Arnold [emoji2][emoji2][emoji2]View attachment 1660421View attachment 1660422
Akili kubwa..jamaa leo tunaweza kudicuss kuhusu ownerships ya mashirika mbalimbali kwenye hizi nchi mbili?
just imagine shirika lao la umeme halimilikiwi na serikali [emoji817][emoji1438][emoji3603]
TANESCO ya kenya
View attachment 1660424
TANESCO ya Tanzania
View attachment 1660426
mhh hawa jamaa uchumi wao can be anytime unstable
haujaelewa point yangu.....Kodi ndio kila kitu kw nchi, au unafikiria nchi inajiendesha na km biashara eti mpka usubirie faida..
Ndio manake hko magu anawapeleka vibaya sana kuhusu maswala ya kodi..
Na hao shareholders ndo wanasiasa hao hao hayo majina ya hzo kampuni ni Geresha tu [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205].jamaa leo tunaweza kudicuss kuhusu ownerships ya mashirika au na kampuni mbalimbali kwenye hizi nchi mbili?
just imagine shirika lao la umeme halimilikiwi na serikali [emoji817][emoji1438][emoji3603]
TANESCO ya kenya
View attachment 1660424
TANESCO ya Tanzania
View attachment 1660426
mhh hawa jamaa uchumi wao can be anytime unstable
Yn ni wajinga sn, yanapenda sifa mno haya mangedere a.k.a [emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205]kwa hiyo mkawapeleka photo shop kupiga picha...[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23] au walikuwa location kuandaa movie ya street war na hilo ndiyo cover lenyewe
aisee kweli nyie mende
Safaricom not in Tanzania.
This are mobile operators in Tanzania
1. Vodacom
2. Tigo
3. Airtel
4. Zantel
5. Halotel
6. TTCL
Kwahiyo ondoa upumbavu wako.
Hahahah!!naona umenipata sasa, lazima nikuweke sawa katika hili swala..haujaelewa point yangu.....
kuwa mpole ukiielewa rudi
yaani hao wakidrop hawapandi.....nikudrop mwanzo mwisho au kustuck.....jamaa leo tunaweza kudicuss kuhusu ownerships ya mashirika au na kampuni mbalimbali kwenye hizi nchi mbili?
just imagine shirika lao la umeme halimilikiwi na serikali [emoji817][emoji1438][emoji3603]
TANESCO ya kenya
View attachment 1660424
TANESCO ya Tanzania
View attachment 1660426
mhh hawa jamaa uchumi wao can be anytime unstable.. tunaweza kusema uchumi wao umeshikiliwa na watu wa nje
Akili kubwa..
Mgao unakula 50% kodi wanakupa wewe na pia vile vile nyie wengine mnaendeshwa kazi yenu nikusubiria mgao wenu baada ya kila kitu kukatwa hku eti mumeshirikiana kifedha..
Akili kubwa, faida tunataka na kodi tunataka..upo kizere cha chato
kweli kabisa hii ni akili kubwa sana ,,,,Akili kubwa..
Mgao unakula 50% kodi wanakupa wewe na pia vile vile nyie wengine mnaendeshwa kazi yenu nikusubiria mgao wenu baada ya kila kitu kukatwa hku eti mumeshirikiana kifedha..
Akili kubwa, faida tunataka na kodi tunataka..upo kizere cha chato
Kama hujui issue za Accounts kaa kimya. Naongea na watu wa wanaojielewa.Anajitoa ufahamu, hao jamaa hawajui uzuri wa shares kuliko kumiliki 100% serekali..
Yani serekali inamiliki 35%, inakula 35% ya profit plus ushuru, akili kubwa[emoji1787][emoji1787]
Tena kwa mbali sana, au nikuketee faida iliyopata safaricom kisha uone baada ya tax walibaki na ngapi na ujue tena kuna mgao wa GOK 35%..akili za wapi hizi?
so hizo kodi wanazolipa zinazidi kile wao wanachochukua???