Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

eti anadai ipo bongo hiyo ,,,, nimecheka ,,kumbe huwa wanaongeaga vitu wasivyovijua...leo nimecheka sana ...
mpaka kilimanjaro yangu nimemwaga

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dominate kumbe ina maana nyingine? Kati ya makampuni 500 yeye mwenyewe hawezi taja hata matano yanayo DOMINATE [emoji23] kama anavyosema.
jamaa alishafel huu mchezo ikabidi akimbie hoja yake ,na kujipanga upya baada ya mdosi mwenye wi-fi kuswitch off router yake..[emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787]
 
Hehehe....you guys have been brainwashed to think that TZ is the garden of Eden!!! We shall wait for those new statistics then. For now the available data shows that there is no meaningful Agriculture in TZ . Compared to other African countries TZ is average at best.
Kama banana kwenu ni nyasi mbona hamkua leading in Africa kama Tanzania?

Hivi nchi Jangwa kama yenu inapata wapi guts za kujilinganisha na Tanzania

 
Kama hujui issue za Accounts kaa kimya. Naongea na watu wa wanaojielewa.
Nikupatie siri kijana.
Dividend hugawiwa kulingana na ripoti zote tatu za kifedha.
1. Financial Performance
2. Financial position
3. Cash flow.
Unaweza ukafunga mwaka Financial Performance ni nzuri ukiwa na faida kubwa kumbe cash flow haina kitu.
Yaani cash haipo kwamba revenue mliyoipata ni receivable.

Halafu kitu jingine ukienda kwenye upande wa financial position kuna ratio lazima uzitazame usije ukajikuta huwezi kuendesha biashara.
Cash/Current Liability
Current asset/Current Liability
Hizo ratio ni muhimu sana.

Kama hujui kwa kimya.
Serikali haitaki kujua, lazima kodi mulipe na mgao wa profit ipate..
Yani unakula mara mbili[emoji1787][emoji1787]

Akili kubwa
 
Hahahah!!naona umenipata sasa, lazima nikuweke sawa katika hili swala..
We unafikiria nchi ni km supermarket eti unaipeleka kibiashara biashara..
ukishanielewa urudi tena dadaa.....

naona unachanganya file tu....
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]santa sana, imepenya hyo nadhani

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa akili nyingine hapo jamaa kakutukana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
hii itakamilika kapla ya lamu port! 👇


Kuna anayebisha? Tony254

Lamu port ambayo iko zaidi ya 90% complete? Wacha mchezo. By October Lamu port itakuwa imeshakamilika. Afterall berths mbili zimeshakamilika. Imebaki berth moja tu. Halafu hizi ni the biggest berths in Africa kwa hivyo ukumbuke hilo.
 
Lamu port ambayo iko zaidi ya 90% complete? Wacha mchezo. By October Lamu port itakuwa imeshakamilika. Afterall berths mbili zimeshakamilika. Imebaki berth moja tu. Halafu hizi ni the biggest berths in Africa kwa hivyo ukumbuke hilo.
By October mwaka gani!?
 
Back
Top Bottom