Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
safaricom tanzania inaoperate wapi.. btw.. safaricom ni ya vodacom.. kwenu ni jina tu (it’s something like equity bank)
british american tobacco nayo ni yenu?[emoji23][emoji23][emoji23]
what is kenol kobil?? iko wap tanzania ?? na inashughulika na nn???
wamemezeshwa porojo nimecheka sana leo
 
Yaani unaumia kisa mimi ni handsome na hujaona hata picha hivi ukiona si utapasuka kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]

Mbona uko na wivu hivyo!
Kheee!!kwhyo we mzuri, anza ku model basi upate vipesa pesa[emoji1787][emoji1787]
Huenda na wewe ukawa star hko kwenu BUZA
 
nimeanza kuona Kenya hakuna kitu/shirika wanaimiliki kwa asilimia mia moja!

Tanzania, kuna vingi tu tunaviendesha wenyewe mfano ATCL, TTCL etc

sasa imagine hao foreign investors wanajiondoa kwenye hizo investment partnership [emoji1438]‍♂️
 
nimeanza kuona Kenya hakuna kitu/shirika wanaimiliki kwa asilimia mia moja!

Tanzania, kuna vingi tu tunaviendesha wenyewe mfano ATCL, TTCL etc

sasa imagine hao foreign investors wanajiondoa kwenye hizo investment partnership [emoji1438]‍[emoji3603]
Tuonyeshe finacial statement za atcl
 
I Have let me add two to ease your pain
Eabl
Safaricom
carbacid investment
Crown paints
Brookside
British American tobacco
Kenol kobil
You can google the rest iam not here to spoon feed you
Brookside ipi hiyo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Asset na Revenue
Anajitoa ufahamu, hao jamaa hawajui uzuri wa shares kuliko kumiliki 100% serekali..
Yani serekali inamiliki 35%, inakula 35% ya profit plus ushuru, akili kubwa[emoji1787][emoji1787]
 
Askari wa Kenya km wacheza show aisee, yn wanapata kabisa muda wa kurembua, Kenya kweli ni shit hole [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]
Nenda kajiunge na alshabab tukuzike mwakani[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom