babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,439
- 36,069
Wakati sasa hivi tushaanza kuweka kwenye semi kubwa za tani 30 [emoji23][emoji23][emoji23]Tafuta Huko Twita 🙂
Hahahaha... "Festi Isti endi Sentro Afrika" inakuja soon
Wakati NIT wanacheza na hiyo kitu for God knows how long!
Hatari sana kaka, Tanzania kuna wanawake wazuri balaa, huyu kabla ya kumsikiliza nkajua mmarekani aisee duh mtoto kama jini jinsi anavutia.Kifaa kingine
Wanaijeria na nyie ni ndugu wa baba mmoja...hamnaga utofautiHata Nigeria hivi karibuni wametuzidi kwa innovation ila zamani Kenya ilikuwa mbele yao. Kwa hivyo kulingana na wewe Nigeria pia wanauza souls zao kwa wazungu?
Ni lazima tulinde tamaduni zetu. Hao watu wa pikipiki waendeshe vidude vyao kwa speed ya 20 km/h la sivyo pikipiki iwe banned kwa sababu streets ni narrow sana. Punda imetumika huko kwa miaka zaidi ya 1,000 na bado maisha inaendelea.🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇
Tony254 wasafirishaji kwa kupitia Punda (usafiri wa karne ya Yesu) wanapigana na bodaboda!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni lazima tulinde tamaduni zetu. Hao watu wa pikipiki waendeshe vidude vyao kwa speed ya 20 km/h la sivyo pikipiki iwe banned kwa sababu streets ni narrow sana. Punda imetumika huko kwa miaka zaidi ya 1,000 na bado maisha inaendelea.
Hivi wakisema capitalists wapite mbele,kenya nanyi mtapita????!!🤣Sisi capitalists Nigeria na Kenya tunakimbiza opportunity mahali popote ilipo. Nyie socialists on the other hand mnakaa juu ya mawe na kupiga soga bila kufanya kazi na kutaka kupata success kama sisi.
Ataliteka soko la Bongo na KIngereza? Huyu ni wazimu. Watu ambao wanakiogopa Kiingereza watamuelewa huyu mwanadada kweli?Kifaa kingine
Kwa hivyo Kenya ni socialist?Hivi wakisema capitalists wapite mbele,kenya nanyi mtapita????!!🤣
Waafrika matatizo yetu yanaanzia mbali sana!
Sasa hapo kipi cha ajabu!!..huku bongo hizo 4G zimetapakaa kama uchafu zinamilikiwa hadi na wahuni tu wa mtaani,hakuna ajabu hapoMimi sina matatizo ya communication kama wewe. Mimi sio wa kuchezea hata kidogo. Mimi sio wale masikini wa Tandale unapoishi wewe. Mimi nina smart-phone ya 4G na pia nina Wi-fi kwa nyumba yangu.
Wacha nikupe evidence
View attachment 1659396
Kama uonavyo hapo juu kwa screen shot ya simu yangu, on the right side inasoma 4G. Na inasoma time ni 12:04.
Halafu muda huo huo nikazima 4G na kuwasha Wi-fi. Hebu tazama hapa chini kwenye screen yangu upande wa kulia utaona symbol ya wifi kumaanisha kwamba nimewasha wi-fi muda huo huo wa 12:04.
View attachment 1659399
Wi-fi yangu natumia kampuni ya internet provider inayoitwa liquid telecom na telecommunication provider wa 4G natumia Safaricom. Sasa endelea kusema kwamba niko juu ya mti nikitafuta network. Sio kila Mkenya wa kuchezea
Mbona kuna nyimbo nyingi sana za Bongo flavor zilizochanganywa na Kiingereza? Sikiliza nyimbo za Navy Kenzo, Rosa Ree na Vanessa Mdee then utaelewa! Vipaji ni vipaji tu, kama Kenya hakuna kaa kimya!Ataliteka soko la Bongo na KIngereza? Huyu ni wazimu. Watu ambao wanakiogopa Kiingereza watamuelewa huyu mwanadada kweli?
Cha kushangaza kenya na tanzania are among countries with extreme poverty-WBYour problem ni kwamba private sector is dead ,hapa unatafuta excuse maana ujenzi wa magorofa huko kwenu mnategemea public sector
Kwani Kenya na Nairobi in perticular umekuta hawajengi barabara? Barabara zinajengwa tena classic kuliko zenu na magorofa ya kutetemesha Africa yanasimamishwa daily
Tukiwaambia muache ujamaa unawafanya kuwa wavivu na maskini mnabisha,yakowapi sasa
Unajua Kuna watu Wapuuzi na WajingaSasa hapo kipi cha ajabu!!..huku bongo hizo 4G zimetapakaa kama uchafu zinamilikiwa hadi na wahuni tu wa mtaani,hakuna ajabu hapo
Navy Kenzo wanachanganya ndimi. Hawaimbi kingereza tu. Lazima waimbe kiswahili japo kidogo tu ili malazy wawaelewe. Lakini wanaimba kiingereza kwa sababu ya market ya SA. Vanessa anaimba kingereza kwa sababu ya market ya Kenya. Lakini hata yeye pia anaimba kwa lugha zote mbili.Mbona kuna nyimbo nyingi sana za Bongo flavor zilizochanganywa na Kiingereza? Sikiliza nyimbo za Navy Kenzo, Rosa Ree na Vanessa Mdee then utaelewa! Vipaji ni vipaji tu, kama Kenya hakuna kaa kimya!
Wapi wi-fi?Unajua Kuna watu Wapuuzi na Wajinga
Yaani Leo hii kuna mtu anajisifia 4G kweli
Au Wif
Nijisifu kuwa na 4G!!
View attachment 1659796
Ongea kuhusu wewe. Sio watu wengine. Leta screen shot au ukae kimya. Na uwache ujinga.Sasa hapo kipi cha ajabu!!..huku bongo hizo 4G zimetapakaa kama uchafu zinamilikiwa hadi na wahuni tu wa mtaani,hakuna ajabu hapo
Unajua Kuna watu Wapuuzi na Wajinga
Yaani Leo hii kuna mtu anajisifia 4G kweli
Au Wif
Nijisifu kuwa na 4G!!
View attachment 1659796
why not? Wasafi ina project US na binti kama huyu anafaa! nyie wa Kiingereza lini mlitoboa soko la nyimbo za ung'eng'e?Ataliteka soko la Bongo na KIngereza? Huyu ni wazimu. Watu ambao wanakiogopa Kiingereza watamuelewa huyu mwanadada kweli?
Wivu gani sasa hapo🤣🤣🤣 sisi hatuingizi mchi kwneye miradi ya ovyoNanusa wivu wako kwa mbali. Poleni mtakuwa na mradi kama huu mwaka wa 2436
Thanks for render 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nilitegemea hvoHii itakuwa mtoto kwa MGB soon 🤣🤣
View attachment 1659717