Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Garage ya Ali Kiba ina gari kali kuliko ya huyo Mkikuyu wa mashamba ya kurithi!
Mzee mada km hizi achana nazo, unajoshusha bure..

Sasa km mtu gari moja limemgharaimu takriban ksh 20m mpka limfikie alafu we unakuja kuandika sijui nini hapa
 
Hahaha!!achana nae mzee wa bando huyo
 
Wazo zuri sana. Mimi hudhani askari polisi anapaswa kupewa mafunzo ya muda mrefu (miaka mitatu) huku akipata mafunzo yafuatayo ambayo ni lazima afuzu;

1. Ukakamavu/military/medani

2. Kozi za msingi za sheria

3. Haki za binadamu

4. Mahusiano ya jamii

Vinginevyo tutaendelea kupokea vipigo kutoka kwa hawa watu.
 
Ubepari buana. Kwa hiyo ukiwa na 4G na hiyo WI-FI ndiyo uje utuoneshe hapa! Nuie watu hamuishiwi vituko. Ubepari umezama mpaka kwenye damu.
Huyo jamaa alikuwa anasema eti mimi napanda juu ya miti kutafuta network sasa ikabidi nimuonyeshe kuwa nina vidude ambavyo yeye hana.
 
Mzee mada km hizi achana nazo, unajoshusha bure..

Sasa km mtu gari moja limemgharaimu takriban ksh 20m mpka limfikie alafu we unakuja kuandika sijui nini hapa
Ww ndio fala wa mwisho kabisa, ss Tshs 400 milioni we ndo unaona mpunga mrefu kutumia kwa gari au sio? Kweli Tanzania watu wanapesa aisee mana hyo pesa iliyomstua huyu dada wa kijaluo huku kwetu ni pesa ndogo tu kuspend kwa gari.
 
We unachizika si bure, $200k ni pesa kidogo sana..santa sana dogo la kujitoa ufahamu, mamtoni tu hyo ni hela ndefu na wala sio kila mtu ana uthubutu huo itakuja iwe tanzania
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji116] [emoji116] [emoji116]

Tony254 wasafirishaji kwa kupitia Punda (usafiri wa karne ya Yesu) wanapigana na bodaboda!
Punda na uvuvi lamu kwao nkm utamaduni, sasa ukiwa hko km hujui hvyo vitu viwili unaonekana mshamba..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…