tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Ilo bata lake nakwambia Acha tu...Ndani humo kuna club disco mziki mnene, nyama choma kama zote yaani ni parte after parte mnafika Moshi na Arusha asubuhi saa 1
Hahahaha ila Sidhani kama kuna nchi inayopenda starehe Africa kama Tanzania [emoji28][emoji28][emoji28] labda SA
Watanzania noma linapokuja suala la bata [emoji23][emoji16][emoji16]
View attachment 1657883View attachment 1657884