komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
WBG ndio imesema km nyie mnaongoza EAKENYA ni MASIKINI.
Siyo mimi nimesema, bali ni WBG.
![]()


Hayo sio maneno yangu
WBG ndio imesema km nyie mnaongoza EAKENYA ni MASIKINI.
Siyo mimi nimesema, bali ni WBG.
![]()


Sasa hyo ni nn, wakenya diaspora wanamiliki vitu vya maana zaidi huol upupuajitokeze mkenya yeyote anayezalisha bidhaa kama huyo jamaa nnje ya nchi ,,,tuone
Endlea kuoinga world bank tu, nyie ndio mnaongoza EA..world bank kashindwa na hoja sio mm
Santa sana, emu tutajie hao wageni wanaoishi kenya na sisi tuwajueWatakwambia wana kampuni nyingi Tz, ila ukiangalia vizuri ni kampuni za wageni wanaoishi Kenya![]()
Hata panadol tunazowauzia zinatoka katika hzo hzo kampuni ofisihuo ndiyo ukweli.....
pia kampuni zao ni kampuni office si kampuni industries za kuzalisha bidhaa

Juzi uliletewa hilo basi la NAMATA likiwa kenya ukaingia mitini


Nimefurahi sana kuona unaumia kw kiasi cha kujiuaKazi kuiga iga wazungu tu wkt mnanuka njaa, ushuzi wa churchill ndo nn, toa ushuzi wako apa.





Afadhali umekubali km mnapatikana top5Top 10 tupo wote according to world bank sasa unatak kukataa middle fingure![]()
Moja wapo ya barabara za mwanzoni mwa miaka ya 2000 ambazo kwa kweli wakandarasi walifanya kazi kitaalamu kwa viwango vya kimataifa na value for money yake inaonekana hadi leo (hakuna uchakachuaji) ni hii barabara ya kuanzia Chalinze hadi Moro. Kuna barabara nyingi tu zilikuja kujengwa baada ya hii barabara lakini ni mashimo tupu na nyingine zilishakarabatiwa vya kutosha. Sikumbuki vizuri ni kampuni gani ilijenga hii barabara lakini kwa kweli they deserve a big round of applause for this!👏👏👏👏👏👏Dar to moro👇👇👇
View attachment 1657131
"Streets within the cbd are wide" hehehe!!yani nimecheka kizembe sana, hyo comment imetokea kw mkenya asiyeijua tanzania vizuri, angelivijua vile vichochoro vya pale posta wala asingeli thubutu kuandika hvoNa jibu wamelipata
Tumekuachis mtz mwenzako akupe sindano za moto kwanzaMm wakunya wananizd kwenye mbio tu hilo halina ubishi.
Sasa hyo ni nn, wakenya diaspora wanamiliki vitu vya maana zaidi huol upupu


Tuonyeshe mkenya yeyote aliye nnje ya nchi au hata ndani anayezalisha bidhaa kama za kodtec ,,,WBG ndio imesema km nyie mnaongoza EA
Hayo sio maneno yangu
Kwa hiyo hiyo CBD ya Dar barabara zake vichochoro kwa vipimo vya macho yako? Nahisi wewe utakuwa na matatizo ya uono hafifu. Mbona hapo Nairobi CBD barabara nyingi ni za kawaida au unafikiri hatuijui Nairobi. Ukinikasirisha nitakuumbua na hao wapuuzi wenzako."Streets within the cbd are wide" hehehe!!yani nimecheka kizembe sana, hyo comment imetokea kw mkenya asiyeijua tanzania vizuri, angelivijua vile vichochoro vya pale posta wala asingeli thubutu kuandika hvo.
Acha longolongo onyesha hao watu wako na vitu wanavomiliki ughaibuni. Usilete story za kwenye vibaraza vya Mombasa uswahilini Kisauni.Sasa hyo ni nn, wakenya diaspora wanamiliki vitu vya maana zaidi huol upupu
hawezi kuleta,,,hawana huo ubavu...Kwa hiyo hiyo CBD ya Dar barabara zake vichochoro kwa vipimo vya macho yako? Nahisi wewe utakuwa na matatizo ya uono hafifu. Mbona hapo Nairobi CBD barabara nyingi ni za kawaida au unafikiri hatuijui Nairobi. Ukinikasirisha nitakuumbua na hao wapuuzi wenzako.
Acha longolongo onyesha hao watu wako na vitu wanavomiliki ughaibuni. Usilete story za kwenye vibaraza vya Mombasa uswahilini Kisauni.
Acha kuumia, yani mtu kumiliki kitu kidogo uchina basi imekua gumzo..Kwa hiyo hiyo CBD ya Dar barabara zake vichochoro kwa vipimo vya macho yako? Nahisi wewe utakuwa na matatizo ya uono hafifu. Mbona hapo Nairobi CBD barabara nyingi ni za kawaida au unafikiri hatuijui Nairobi. Ukinikasirisha nitakuumbua na hao wapuuzi wenzako.
Acha longolongo onyesha hao watu wako na vitu wanavomiliki ughaibuni. Usilete story za kwenye vibaraza vya Mombasa uswahilini Kisauni.





Angalau mwenzako hapo kakubali, sasa sijui wewe unatakaje..Top 10 tupo wote according to world bank sasa unatak kukataa middle fingure![]()
Kwn wewe ilkua unafikiria EA mpo namba ngapi vilewee tuoneshe uliposoma hivyo.


Sasa hii ni nn jamaniTuonyeshe mkenya yeyote aliye nnje ya nchi au hata ndani anayezalisha bidhaa kama za kodtec ,,,
wacha ujinga haukawii kutuletea vitu cheap mawigi na shedo pia rangi za kucha ..View attachment 1657304View attachment 1657305View attachment 1657306View attachment 1657307


Nakuelewa kiasi fulani mkuu, ingawa comedy zao hua siangalii lakini sura zao of course zinachekesha kuanzia Uhuru Kenyata, Moi, n.k. Nafikiri moja ya vitu vilivyosababisha slums tourism nairobi ni the way they look funnyIf that's what makes up your cup of tea then bet but kunyans kwenye comedy wapo vizuri. Kwanzia kwenye comedy concert adi kwenye Some Tv shows. Naifatilia nchi yangu mno coz naipenda sanaaaaa but when it comes to comedy Tz inabidi tuongeze msuli baba.. bado
Watoe wapi?🙂 Makampuni ya pombe Kali na maji ndo yako mengi🙂Tuonyeshe mkenya yeyote aliye nnje ya nchi au hata ndani anayezalisha bidhaa kama za kodtec ,,,
wacha ujinga haukawii kutuletea vitu cheap mawigi na shedo pia rangi za kucha ..View attachment 1657304View attachment 1657305View attachment 1657306View attachment 1657307