Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Toa unafki wako apa, ww mbongo wa wapi ww.
James bond sikia im genuine with every comment natoa huku sio lazima ukubaliane nalo. Ndo maana kuna kitu kinaitwa preference. Sijui kwanini you are making a big deal out of this BS... let go bruh
 
Tujikumbushe ahadi kdg
JamiiForums-385298460.jpg
JamiiForums-1844183586.jpg
JamiiForums-1663274194.jpg
JamiiForums-689649597.jpg
JamiiForums864501110.jpg
JamiiForums850777453.jpg
 
Ok nmekufuatilia nmeona kweli ww ni mbongo, ila ni mbongo mwenye fikra za Tz ya 90s, sikia ndg Tz ya ss huwezi fananisha na nchi yoyote EA wanachotuzd Wakenya ni riadha tu ambayo pia walikuja kujifunza Tz enzi zile za Filbert Bayi, tukazembea now wametupita but the rest hakuna wanachotukaribia amini kwamba.
If that's what makes up your cup of tea then bet but kunyans kwenye comedy wapo vizuri. Kwanzia kwenye comedy concert adi kwenye Some Tv shows. Naifatilia nchi yangu mno coz naipenda sanaaaaa but when it comes to comedy Tz inabidi tuongeze msuli baba.. bado
 
Huenda tupo tofauti mana mm huwa hawanichekeshi kabisa to be honest, na ukiongeza ile accent wanayotumia ndo huwa natoa kabisa, bongo comedian wapo vzr ila shida imeanza pale walipoanza wavamizi.
 
If that's what makes up your cup of tea then bet but kunyans kwenye comedy wapo vizuri. Kwanzia kwenye comedy concert adi kwenye Some Tv shows. Naifatilia nchi yangu mno coz naipenda sanaaaaa but when it comes to comedy Tz inabidi tuongeze msuli baba.. bado
Mm wakunya wananizd kwenye mbio tu hilo halina ubishi.
 
Back
Top Bottom