Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona wabongo tunapenda ubishi hvyo aya bwana yaishe.. Watanzania tupo juu
Ok nmekufuatilia nmeona kweli ww ni mbongo, ila ni mbongo mwenye fikra za Tz ya 90s, sikia ndg Tz ya ss huwezi fananisha na nchi yoyote EA wanachotuzd Wakenya ni riadha tu ambayo pia walikuja kujifunza Tz enzi zile za Filbert Bayi, tukazembea now wametupita but the rest hakuna wanachotukaribia amini kwamba.
 
Hao heri wazidi kujipumbaza vijana hko hko youtube, lkn watu wazima na akili zao wanenda churchill kujibudurisha

Nani awaalike hao wazee wakujitoa ufahamu katika matamasha tao ili wachekeshe watu na akili na zao..
Kwn commedy mpka ujitie utahira
Kazi kuiga iga wazungu tu wkt mnanuka njaa, ushuzi wa churchill ndo nn, toa ushuzi wako apa.
 
This is manzese road,
alongside is manzese streets hapa ndio wakenya huita uswazi kwa vipicha vyao vya juu vile lakin angalia nyumba za hapo hata mkazi wa karene Nairobi hawezi kurent hapa.
EpBGa1bXMAAUkdN.jpeg
 
Back
Top Bottom