The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,538
Amedizain au ameiba picha ya ulaya, huwezi ona Magufuli anatoa kazi kwa mkunya mpk dunia iishe, majengo yenu tu hamuwezi ku dizain ndo itakuwa majengo ya Tz?Nilisoma ripoti fulani kuwa haya majengo yanapata tabu sana kujazwa. Yaani hakuna watu wanaotaka kukodi nafasi humo ndani maana hawawezi kumudu kodi au lease