Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tuna 5. Hii ni kulingana na search niliyofanya ya haraka haraka. Nyie mna ngapi? Halafu tukitoka kwenye floors tunaweza kuenda kwenye height (metres) ambayo tumewapiga bila huruma.
1.TPA TOWER 35FLR
2.PSPF 1 35FLR
3.PSPF 2 35FLR
3.MNF TOWER 30FLR
4.RITA TOWER 30FLR
5.PPF TOWER 35FLR
6.MILLENNIUM TOWER 30FLR
7.MZIZIMA TOWER 1 TOPPED OUT 35FLR
8.MZIZIMA TOWER 2 TOPPED OUT 33FLR
 
1.TPA TOWER 35FLR
2.PSPF 1 35FLR
3.PSPF 2 35FLR
3.MNF TOWER 30FLR
4.RITA TOWER 30FLR
5.PPF TOWER 35FLR
6.MILLENNIUM TOWER 30FLR
7.MZIZIMA TOWER 1 TOPPED OUT 35FLR
8.MZIZIMA TOWER 2 TOPPED OUT 33FLR
Naona kama mnaweza kuwa mmetupiga hapo lakini zenye above 28 floors bado tunawashinda. Halafu likija kwenye swala la height pia tumechukua kikombe.
 
Hongereni sana sie hapa haiwezi jengwa daraja kama ilo lenu kwa miaka ya usoni...tuna miradi ya reli ya kuzunguka jiji labda iyo ndio ijengwe juu juu
Yao inajengwa na mchini ni vile sisi hatutaki project kichaa kama izo mchina ajenge afu atukamue ila kama tukitaka inajengwa fasta maana haijatumia pesa za wakenya ni pesa za wachina.

Mchina ni rahisi sana kuwekeza kwnye nchi ambayo hawana maoni yani akisema chochote nyie ni ok. Atakuja na hela hautaamini maana anataka influence.
 
Zetu nyingi ziko kati ya 27 floors na 29 floors. Kwanza 28 floors nadhani tuna tatu au nne.
Zenye 20-29 flrs sio haba zipo kadhaa
1.BOT TOWER 1 20FLR
2.BOT TOWER 2 20FLR
3.PPF TOWER 22FLR
4.PSPF TOWER ILALA 22FLR
5.PSPF TOWER POSTA 24FLR
6.SKY TOWER 22FLR
7.UHURU HEIGHT 27FLR
8.UMOJA WA VIJANA TOWERS I&2 25FLRS Each
10.MOROCCO SQUARE RESIDENTIAL 22FLR
11.........
 
Mombasa sio ya mchezo mchezo km unavyofikiria
images.jpeg-14.jpg
 
Bill gates ndio nani?tuliambiwa tuje duniani tuzaliane sasa wewe unahisi upo duniani kufanya nn kama huzai? Yeye kama kaona watoto wawili wanamtosha wewe iyo sio sera ya kila mtu
Sera ya walala hoi hyo yq kuzaliana km vipanya
 
Hahahaha Em chekecha akili yako ujue Kenya ina population kiasi gani na wangapi wapo Nairobi na Tanzania Ina population gani na wangapi wapo Dar

Ndio utajua namna Nairobi ilivyo last hope ya each Kenyan

Pia angalia miji mikubwa ya Kenya ni mingapi na miji mikubwa Tanzania ni mingapi
Bwahahaha!!hko hamna zaidi ya dar, au kuna mji ambao umefikisha hata population ya watu milioni zaidi ya dar
 
Sio shida kabisa tuna ardhi kubwa sana na resouces nyingi kwaiyo tunahitaji human resource ya kutosha angalau 500m+ population
Human resource gani tayari nyie mumeumbwa ni wazembe..

Kenya ndio nchi pekee ukanda huu ndio hyo sector iko vizuri
 
Zenye 20-29 flrs sio haba zipo kadhaa
1.BOT TOWER 1 20FLR
2.BOT TOWER 2 20FLR
3.PPF TOWER 22FLR
4.PSPF TOWER ILALA 22FLR
5.PSPF TOWER POSTA 24FLR
6.SKY TOWER 22FLR
7.UHURU HEIGHT 27FLR
8.UMOJA WA VIJANA TOWERS I&2 25FLRS Each
10.MOROCCO SQUARE RESIDENTIAL 22FLR
11.........

Ongeza Viva Tower, Ushirika Tower , Samora Tower, Quality Boulevard.
 
Izo za avic apo?nazojua ni old mutual tower,Prism tower
1.TPA TOWER 35FLR
2.PSPF 1 35FLR
3.PSPF 2 35FLR
3.MNF TOWER 30FLR
4.RITA TOWER 30FLR
5.PPF TOWER 35FLR
6.MILLENNIUM TOWER 30FLR
7.MZIZIMA TOWER 1 TOPPED OUT 35FLR
8.MZIZIMA TOWER 2 TOPPED OUT 33FLR
1. NGTC T1 = 43FLRS T/O
2. TIMES TOWER = 38FLRS
3. NGTC T2 = 35FLRS T/O
4. PRISM TOWER = 34FLRS
5. UAP/OLD MUTUAL TOWER = 33FLRS
6. BRITAM TOWER = 33FLRS
7. NGTC RESIDENTIAL T1 = 33 FLRS
8. NGTC RESIDENTIAL T2 = 31 FLRS
9. NGTC RESIDENTIAL T3 = 31 FLRS
10. CBK PENSION TOWER = 30FLRS
 
1. NGTC T1 = 43FLRS T/O
2. TIMES TOWER = 38FLRS
3. NGTC T2 = 35FLRS T/O
4. PRISM TOWER = 34FLRS
5. UAP/OLD MUTUAL TOWER = 33FLRS
6. BRITAM TOWER = 33FLRS
7. NGTC RESIDENTIAL T1 = 33 FLRS
8. NGTC RESIDENTIAL T2 = 31 FLRS
9. NGTC RESIDENTIAL T3 = 31 FLRS
10. CBK PENSION TOWER = 30FLRS
Cbk liko wap ?
 
Back
Top Bottom