ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
😀😀😀😀😀 pumzika iphone7Lakini wewe unayo...uko na ufuckdem mob...NB:Ufuckdem si kitu mbaya
😀😀😀😀😀 pumzika iphone7Lakini wewe unayo...uko na ufuckdem mob...NB:Ufuckdem si kitu mbaya
Pesa hufuata pesa na bongo wanavojua kupiga deal hahaha mtaisoma no kweli na tar 1 uangalia mechi kati ya everton na manchester......jezi za everton zitakua zimeandikwa tembelea tanzaniaCkuelewi....but sportpesa pesa inapata Kenya ni mabillioni juu inajulikana kila sehemu tangu 2014 na imevuma kuvuma....after sportpesa success makupuni za kubet na lottery online zinafika 50 sai ikiwemo za england,defabet na beltway, serikali kuona hii story ya kubet imepanda na vijana wana syke nayo waka propose tax ya 50% kwa revenue yao ili kupunguza speed izo ma kampany zilikua zinakam....
Hizo makampany zikaenda kortini na wakafaulu ipunguzwe hadi 35%...so sportpesa wanatutishia kuwithdraw iyo sponsorship
Nb.Mimi n mzalendo but ukweli nasema si ka nyinyi magufuli akisema murukie Indian oceon na kuna sharks mnafuata
Sportpesa ni kampuni ya kenya hata uende mbinguni na urudi haibadilikiPesa hufuata pesa na bongo wanavojua kupiga deal hahaha mtaisoma no kweli na tar 1 uangalia mechi kati ya everton na manchester......jezi za everton zitakua zimeandikwa tembelea tanzania
Siku hio😀😀😀😀😀😀
Alaf magufuli anajenga nchi ndio maana lazma muone hafai maana ile hadhi yakujiona superior umeisha
Hahaha ndio wamekuja kwenye pesa sasa kurudi vigumu😀😀😀😀😀😀😀Sportpesa ni kampuni ya kenya hata uende mbinguni na urudi haibadiliki
we ata ujilaze kwenye reli... Sportpesa wamekuja kuvuna pesa na kuleta nyumbani Kenya. sasa sijui unashobokea nini apaHahaha ndio wamekuja kwenye pesa sasa kurudi vigumu😀😀😀😀😀😀😀
SportsPesa kuwatosa wakenya, yasema itavunja mikataba yote KPL
wewe ni chiziiiiiiiiiiiiDanganyikans suffering from inferiority complex....looking for everything negative in Kenya....we don't have time for such crap
wanajifanya wanaupendo na sisi hilo ni swali zuri sanaTafuta jina la mchezaji wa bongo kwenu???
Basi ka huwezi kuafford private schools kazana kusoma sio kupata mimba.. Afu msituamulie cha kufanya tz cio Kenya kila Mtu anautaratibu wake...Private school si affordable kwa kila mtu
leta vithibitisho vya document za uhalali kama hiyo ni kampuni ya kenya usiropoke tu...mimi nilikaa kimya makusudi ila hiyo si kampuni yenu ni wawekezaji tu yofauti tofauti ...ila lete uthibitishoSportpesa ni kampuni ya kenya hata uende mbinguni na urudi haibadiliki
Basi ka huwezi kuafford private schools kazana kusoma sio kupata mimba.. Afu msituamulie cha kufanya tz cio Kenya kila Mtu anautaratibu wake...

naisitoshe ile si kampuni ya kenya ni wawekezaji ..... nachotaka waleta vithibitisho vya documentHahaha ndio wamekuja kwenye pesa sasa kurudi vigumu😀😀😀😀😀😀😀
SportsPesa kuwatosa wakenya, yasema itavunja mikataba yote KPL
asante .....ujue collo ni kijana mzee mwenye mapepo na huwa namkemeaKaribu lusematic kiboko ya collomz![]()
![]()
Ng'ombe ni ng'ombe kweli....kampuni imeanzishwa Kenya na mkenya itakuaje si ya kenya???leta vithibitisho vya document za uhalali kama hiyo ni kampuni ya kenya usiropoke tu...mimi nilikaa kimya makusudi ila hiyo si kampuni yenu ni wawekezaji tu yofauti tofauti ...ila lete uthibitisho
Pesa hua hailetwi hviwe ata ujilaze kwenye reli... Sportpesa wamekuja kuvuna pesa na kuleta nyumbani Kenya. sasa sijui unashobokea nini apa
We jamaa huwa hutumii akili...alafu unajiona umewaza sananaisitoshe ile si kampuni ya kenya ni wawekezaji ..... nachotaka waleta vithibitisho vya document