kifusi boy
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 1,141
- 1,752
Amewambia ataezaa aende vyuo vya ufundi au akajilipie private school but hajakataza Mtu kuendelea na shule kisa mimba.. Muwe mnafatilia taarifaa kabla ya kutokwa mapovuBut hiyo ni kua backward sana....elimu ni basic need kama chakula na mavazi
More of Hemingways naheshimu hii place
Private school si affordable kwa kila mtuAmewambia ataezaa aende vyuo vya ufundi au akajilipie private school but hajakataza Mtu kuendelea na shule kisa mimba.. Muwe mnafatilia taarifaa kabla ya kutokwa mapovu
Kumbe mnaheshimu wakenya design hiiTulivo hatuna roho mbaya tumeita mtaa kwa jina lake.....victor wanyama street
View attachment 530083
Hio sportpesa wakwende huko..pesa zetu walitumia kusponsor hull,laliga na sai Everton alafu wakitaxiwa 35% wanadai kuwithdraw sponsorship....wametubeba ufala hapoUkifika tanzania lazma usahau ulipotoka
😀😀😀😀😀😀😀
Pesa ina kuja kwenye pesa
SportsPesa kuwatosa wakenya, yasema itavunja mikataba yote KPL
Tunaonesha hatuna roho za korosho😀😀😀Kumbe mnaheshimu wakenya design hii
Sasa hvi wamekua wabaya😀😀😀😀😀Hio sportpesa wakwende huko..pesa zetu walitumia kusponsor hull,laliga na sai Everton alafu wakitaxiwa 35% wanadai kuwithdraw sponsorship....wametubeba ufala hapo
Lakini wewe unayo...uko na ufuckdem mob...NB:Ufuckdem si kitu mbayaTunaonesha hatuna roho za korosho😀😀😀
Ckuelewi....but sportpesa pesa inapata Kenya ni mabillioni juu inajulikana kila sehemu tangu 2014 na imevuma kuvuma....after sportpesa success makupuni za kubet na lottery online zinafika 50 sai ikiwemo za england,defabet na beltway, serikali kuona hii story ya kubet imepanda na vijana wana syke nayo waka propose tax ya 50% kwa revenue yao ili kupunguza speed izo ma kampany zilikua zinakam....Sasa hvi wamekua wabaya😀😀😀😀😀
Bongo ukija hurudi😛😛
JK ROAD NAIROBITulivo hatuna roho mbaya tumeita mtaa kwa jina lake.....victor wanyama street
View attachment 530083
Tafuta jina la mchezaji wa bongo kwenu???JK ROAD NAIROBI
View attachment 530135