Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yaliyojiri Marekani..Kijana mdogo tu kutoka WCB

04e560390a217fce7c95edd0062098f2.jpg
safi sana kenya hawawezi gusa izo levo......kiswahili chetu ndiyo upya wa mitindo duniani tanzania stand up
 
We jamaa huwa hutumii akili...alafu unajiona umewaza sana
mimi sijioni hata kidogo ila napenda kujifunza naomba uthibitisho sipendi kelele eti binadamu wa kwanza alikuwa sokwe lete ufahamu apa wati tujifunze na tuelewe uthibitisho
 
Pesa hufuata pesa na bongo wanavojua kupiga deal hahaha mtaisoma no kweli na tar 1 uangalia mechi kati ya everton na manchester......jezi za everton zitakua zimeandikwa tembelea tanzania
Siku hio😀😀😀😀😀😀
Alaf magufuli anajenga nchi ndio maana lazma muone hafai maana ile hadhi yakujiona superior umeisha
Nmesaidia kukuexplania but hauelewi....sportpesa 90% revenue zinatoka Kenya na ukianza kufikiria ka kuku sijui utasaidika aje ety jezi za Everton ziandikwe "tembea Tanzania" hio ni kama ndovu kupita iyo shimo ya sindano
 
leta vithibitisho vya document za uhalali kama hiyo ni kampuni ya kenya usiropoke tu...mimi nilikaa kimya makusudi ila hiyo si kampuni yenu ni wawekezaji tu yofauti tofauti ...ila lete uthibitisho
Niya wapi??? Unadani "pesa" ni kingereza mbuzi mzee
 
This danganyikans are all Stupid(99.9% if not 100)... Even the better Tuusan supports magufulis punishment on pregnant school girls.
Nyinyi wote hapo tz(+magufuli) niwajinga
 
This danganyikans are all Stupid(99.9% if not 100)... Even the better Tuusan supports magufulis punishment on pregnant school girls.
Nyinyi wote hapo tz(+magufuli) niwajinga
Tuache na ujinga wetu na ndio tushasema hivo huku ni marufuku kupata mimba... Yaan uchague moja Kusoma Bure au upate mimba ukajilipie full stop...kama imekuuma kashtaki kwa waume zenu mnawaita cjui haki za binadamu cjui....
 
Huu ni ujinga unaeza happen Tanzania tu
 
Back
Top Bottom