Hapa kazi tu[emoji123]big up my motherland [emoji1241]
Hii stendi itakua ya nguvu meanwhile tusubiri updates za BRT kutoka kwa majirani wetu [emoji846]
BusStand iko Mwengehee! kwan hii stand na uwanja wa mpira vinajengwa wap? nasikia march 2021 ianze kutumika
Kituo cha daladala Mwenge kuanza kutumika Machi 2021
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Aboubakar Kunenge ameitaka Manispaa ya Kinondoni na mkandarasi kutoka JKT kuhakikisha ujenzi wa kituo cha daladala Mwenge na maduka 126 vinakamilika kabla ya February 28 na kuanza kutumika Machi Mosi 2021 ili kiweze kutoa huduma kwa wananchi kama ilivyokusudiwa...swahilitimes.co.tz
BusStand iko Mwenge
Kinondoni Municipal Stadium iko Biafra
Hatununui mtumba sisi,we unadhani treni mpya new kabisa unanua kama unavyonunua big g,kwamba unaenda dukani na mia mbili zako unasema nataka train,noooo unaweka order kwanza,then wataalam wanaanza kukutengenezea kitu new sio scrapper manHatujaahidiwa mchoro sisi, km nyie mnasubiria treni za pale kw ule mchoro msahau..
Treni zenyewe mumeshindwa kununua mpka leo
Umeshakamilika??mto sinza baada ya ujenzi kukamilika View attachment 1651585
Wasanii wetu wengi wao mziki kwao ni side hustle, kwhyo hata hawashtuki
Barabara yenyewe sio yenu..mnachekacheka tu na vitu vya wenyeweAcha tuwaonyeshe maana ya barabara wala sio ule upupu wao
Hahaha!!mumeeka wapi hzo oda, tuelimishe kidogoHatununui mtumba sisi,we unadhani treni mpya new kabisa unanua kama unavyonunua big g,kwamba unaenda dukani na mia mbili zako unasema nataka train,noooo unaweka order kwanza,then wataalam wanaanza kukutengenezea kitu new sio scrapper man
Njoni muichukue basiBarabara yenyewe sio yenu..mnachekacheka tu na vitu vya wenyewe
Mna msanii gani nyie aliyekua norminated BETWasanii wenu wale sijui huwa wanaimba nini,yaani ni utopolo wa kwenda mbele
Do your research,ni nyoka kutoka seoulHahaha!!mumeeka wapi hzo oda, tuelimishe kidogo
Tuichukue ya kazi gani!??..sisi na miradi ya kitapelitapeli wapi na wapi..sisi hatuwezi kuwapa wachina pesa kizembeNjoni muichukue basi
Dah jamaa unapigwa vitasa mpk huruma yn, kwahyo milioni 125 Tshs ndo msaada ambao Kenya uliipa Tz, so hyo ilikuwa ya nn na ilienda kufanya kazi gn.Asante kwa kuleta habari ya 2017[emoji23][emoji23][emoji23], kwani unasahau Kenya ilishawapatia msaada?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]View attachment 1651528
Nominated!???..sisi hiyo bet hadi tumechukua we unazungumza nomination!!!..kweli sisi sio level yenu,huyo kaligraph alivyokuwa nominated naona mkaandaa na sherehe kabisa😁🤣🤣🤣Mna msanii gani nyie aliyekua norminated BET
Ss we huoni ajabu mtu anakupigia simu ili umkope, yn Kenya hamtokaa mpate kiongozi km Magu na tunajua mnampenda sn mana ametupatia heshima kubwa duniani hapa, siku hz nchi inayoangaliwa zaidi EA ni Tz na Rais maarufu zaidi EA na Afrika kwa ujumla ni Jiwe [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]Afadhali ukakubali km jiwe kapigiwa ili akope[emoji1787][emoji1787][emoji122][emoji122][emoji122]
Ndo nani uyo mbn cmjui?Nominated!???..sisi hiyo bet hadi tumechukua we unazungumza nomination!!!..kweli sisi sio level yenu,huyo kaligraph alivyokuwa nominated naona mkaandaa na sherehe kabisa[emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Napo ashukuru kolabo zile mfululizo alizofanya na wabongo..
Hakuna treni mlizoeka oda hko nyie, zile ni longo longo tuDo your research,ni nyoka kutoka seoul
Wambieni wachina wauchukue basiTuichukue ya kazi gani!??..sisi na miradi ya kitapelitapeli wapi na wapi..sisi hatuwezi kuwapa wachina pesa kizembe
Nani huyo kachukua BET tz[emoji1787][emoji1787]Nominated!???..sisi hiyo bet hadi tumechukua we unazungumza nomination!!!..kweli sisi sio level yenu,huyo kaligraph alivyokuwa nominated naona mkaandaa na sherehe kabisa[emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Napo ashukuru kolabo zile mfululizo alizofanya na wabongo..
2020 kafanya collabo na mbongo wa wapi[emoji1787][emoji1787]Nominated!???..sisi hiyo bet hadi tumechukua we unazungumza nomination!!!..kweli sisi sio level yenu,huyo kaligraph alivyokuwa nominated naona mkaandaa na sherehe kabisa[emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Napo ashukuru kolabo zile mfululizo alizofanya na wabongo..