ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Nijibu swali langu status ya britam ni sawa na status eiffel tower😀😀😀😀😀Tumia google msee....iko na lift btw
Yani vitu vya kutumia akili unataka kubishana
Nijibu swali langu status ya britam ni sawa na status eiffel tower😀😀😀😀😀Tumia google msee....iko na lift btw
Tanganyika Packers KaweHii inajengwa kwa wapi??
Nilikusho ndio nini? Shuleni ulienda kula bagiaNilikusho hatuko shule bora ushaelewa ka unataka kua mwalimu useme
Wewe unatumia mbooo kufikiria nini Eiffel ni mnara yote na iko na 3floors hadi ina restaurants... Mnara ni modern architecture ata the tallest building on earth Dubai ina mnara...so mkiargue ka dunder heads dawa yenu cjui ttatoa wapiNijibu swali langu status ya britam ni sawa na status eiffel tower😀😀😀😀😀
Yani vitu vya kutumia akili unataka kubishana
Unajua nachokuuliza mm status ya britam ni sawa na status ya eiffel tower??????Wewe unatumia mbooo kufikiria nini Eiffel ni mnara yote na iko na 3floors hadi ina restaurants... Mnara ni modern architecture ata the tallest building on earth Dubai ina mnara...so mkiargue ka dunder heads dawa yenu cjui ttatoa wapi
Kwahiyo unataka kusema huo mnara ni jengo ? Kweli njaa mbayaInaitwa Eiffel tower kwani tower ni symbol..nlikuambia ujinga ukonayo haina dawa
Wewe Mungu akusaidie sana 😀😀😀😀😀😀Wewe unatumia mbooo kufikiria nini Eiffel ni mnara yote na iko na 3floors hadi ina restaurants... Mnara ni modern architecture ata the tallest building on earth Dubai ina mnara...so mkiargue ka dunder heads dawa yenu cjui ttatoa wapi
Wapi hapo?UtanyookaView attachment 529844
BongoWapi hapo?
Inaitwa Eiffel tower na Britam pia ni Britam tower...zote ni towers...bla bla bla jiekeUnajua nachokuuliza mm status ya britam ni sawa na status ya eiffel tower??????
kutukana ni dalili yakushindwa
So mm hua ctaki matusi tafadhali sana
Hahhaha yani leo umenidhihirishia kua akili yako changa sana😀😀😀😀😀😀Inaitwa Eiffel tower na Britam pia ni Britam tower...zote ni towers...bla bla bla jieke
Kenye nakupendea kwa vitu za kutumia akili unakuaga njee kila siku... Hizi ni ranking za designs Kali na zote zina mnara...nakuhurumia sana juu hakuna siku unawinHahhaha yani leo umenidhihirishia kua akili yako changa sana😀😀😀😀😀😀
That is KITUSURI RIDGEi like this one...looks like Beverly hills![]()
It is located about 15 Km from the CBDIko umbali gani kutoka mjini kati?
This is NairobiWhere is cbd background?
You are such an ignorant individual. Kwanza hawakuwa watatu.wakora watatu au wanne ndani ya mall walitetemesha nchi yote ya Kenya kwa wiki nzima.so shame...![]()
![]()
![]()
An eighth of an acre plot in Westlands is ksh 600 million. (that is ukibahatika kupata yenye inauzwa)Mazee dar viwanja vinaisha mji unajengeka balaa mi skyscraper inachomoza kama uyoga .
Kariakoo pale kijumba kilichojengwa mwaka 1960 ukitaka kuinunua upandishe flat andaa sio chini ya milioni 500 aisee nomaa
Mwaka 1996 nilihamia maeno ya kimara kigong'o ilikuwa msitu tu na migomba lakini leo kuna mijumba balaa aisee .
Kuna kujumba kangu kama miaka hiyo nataka nikavunje nipandishe apartment fursa ya mshiko nje nje
Dar raha sana jamani wakenya
Kila mtaa nikipita watoto warembo warembo daaah mate yana nitoka
Acha dar iitwe dar
There is no success like dar success in EA