Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wah.....Kenya we are under seige. ..tumezungukwa proper....hahaha
be08f45c22283949d57bc0c617bf49ab.jpg
hahahaha
kwa hiyo nyinyi mpo above russia?..nimecheka sana aisee....wazungu wa UN wanajua sana kucheza na akili za wakenya.
 
Acha kusema yupo Kenya Bali sema alikuwa Kenya. Usitufanye mafala kwa kutuletea habari za nyumba ukazifanya za Leo. Sisi wanamuziki wanakuja sana ilaatutaji kwani wanakuja kikazi. Yupo ludacris,50cent,Baster rymes, TI,Joe,Eve , Rick Ross na wengine wengi lakini atusemi cause wanakuja kuchota pesa huku. Ata Alikiba kaja kuchota pesa Kenya
 
hahahaha
kwa hiyo nyinyi mpo above russia?..nimecheka sana aisee....wazungu wa UN wanajua sana kucheza na akili za wakenya.

You cant See russia is an economy in transition category after the developed countries category!!!!...umelewa ama ni tu bad luck in understanding simple things. Mchunge Somalia isiwapite LDC people
 
Acha kusema yupo Kenya Bali sema alikuwa Kenya. Usitufanye mafala kwa kutuletea habari za nyumba ukazifanya za Leo. Sisi wanamuziki wanakuja sana ilaatutaji kwani wanakuja kikazi. Yupo ludacris,50cent,Baster rymes, TI,Joe,Eve , Rick Ross na wengine wengi lakini atusemi cause wanakuja kuchota pesa huku. Ata Alikiba kaja kuchota pesa Kenya
Coke studio Africa ni kuchota pesa?????....unajua hawezi kuja LDC na hamna pesa.....wewe nlikuambia unaaimbisha Tz kwa ujinga wako
 
Hii Dar imeshindia nini Mombasa honestly apart of the few towers they are putting up?Mombasa even looks better...more developed and sexier
 
Kadoda,icho,tuusan and company <br />[quote uid=427015 name="COLLOH-MZII RELOADED" post=21796969]Nairobi(cbd+upper hill on the background) ichoboy and company need I need only one dar photo equivalent to any of this
38ab745f2edaf1058c06e2dce836fc76.jpg
<br />
bafd8a12011eec9a43f9ccfae1155300.jpg
5b46cda644fc3b20136d50c580bf9081.jpg
4e7264d9d19b9e4ba6b32ace9ced9465.jpg
13126a5bcd12dd3c6a75c74aa7df0170.jpg
[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom