Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

23775903692_a51047ede2_b.jpg
 
mawe ni mengi kushinda nyumba in mwanza. hiyo ndio place nishatembelea in tz
😀😀😀😀 mwanza ina population of almost 3 million people mwanza ulioenda wewe ni ya 90s and now is 2017......nenda tena utajionea
 
Nair
Kutembea City inakaa slummy yote Kama Dar inahitaji mwaka mzima na kutumia punda ndani ya vichochoro vya Dar is slum. ...gari wala pikipiki haipitiki
Nairobi unaitaji hammered vehicle ukiwa na darubini lazima hiyo gari Iwe open roof iliusije vamiwa na mwenye njaa
838cd0750cdb66a0bd551bd87a543a5e-2.jpg
 
hizi vitu kama footbridge ni geni sana bongo. ...walicopy tu Kenya. keep copying neighbours. ...
 
Mnakataa kupea sehemu za darislum majina ndio wazungu wasiwaorodheshe. ... waliwapatia least developed country . inamaanisha nchi ni kama jehanamu
 
Mnakataa kupea sehemu za darislum majina ndio wazungu wasiwaorodheshe. ... waliwapatia least developed country . inamaanisha nchi ni kama jehanamu
Nilikwambia ndugu hakuna kitu kinaitwa slum tanzania nzima....slum ziko kenya utake usitake
Unalazmisha vitu kila siku na dunia ishakuonesha slum zilipo😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom