Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wakora watatu au wanne ndani ya mall walitetemesha nchi yote ya Kenya kwa wiki nzima.so shame...
Kadoda,icho,tuusan and company <br />[quote uid=427015 name="COLLOH-MZII RELOADED" post=21796969]Nairobi(cbd+upper hill on the background) ichoboy and company need I need only one dar photo equivalent to any of this
38ab745f2edaf1058c06e2dce836fc76.jpg
<br />
bafd8a12011eec9a43f9ccfae1155300.jpg
5b46cda644fc3b20136d50c580bf9081.jpg
4e7264d9d19b9e4ba6b32ace9ced9465.jpg
13126a5bcd12dd3c6a75c74aa7df0170.jpg
[/QUOTE]
 
Mazee dar viwanja vinaisha mji unajengeka balaa mi skyscraper inachomoza kama uyoga .

Kariakoo pale kijumba kilichojengwa mwaka 1960 ukitaka kuinunua upandishe flat andaa sio chini ya milioni 500 aisee nomaa

Mwaka 1996 nilihamia maeno ya kimara kigong'o ilikuwa msitu tu na migomba lakini leo kuna mijumba balaa aisee .


Kuna kujumba kangu kama miaka hiyo nataka nikavunje nipandishe apartment fursa ya mshiko nje nje

Dar raha sana jamani wakenya

Kila mtaa nikipita watoto warembo warembo daaah mate yana nitoka

Acha dar iitwe dar

There is no success like dar success in EA
 
Wewe Nairobi wala Dar upajui na hujawahi fika. Utakuwa unaishi huko mikoani. Sasa hii ndo Nairobi inavyokuwa kipindi cha mvua. Wanahadi sehemu panaitwa matopeni kipindi chamvua hapapitiki nalazima uvae rain boots kwenda kazini.Sikunyingine kama ujuikitu nyamaza ujifunze.
BeFunky-Collage17-1.jpg
CE0SOwtWEAA8cBF-1.jpg
BeFunky-Collage17-1.jpg
i
Hapana kwenye hili lazima tuseme ukweli. Dar kwa Nairobi bado sana! Nairobi imejengeka vizuri tena kwa mpangilio tofauti na Dar ambako mvua ikinyesha dk kumi mji mzima mnaweza anzisha mabwawa ya samaki! Dar bado ndugu zangu.
 
Mombasa kwnye hotels pekeake haitoboi kwa zanzibar....unazungumza kuhusu dar😀😀😀


kuna thread Mombasa ilinyorosha dar is slum. ....zanzibar ni shade wameweka kwa ufuo wa bahari ati hotels. ....hiyo ujinga uishe.atleast mwarabu ameamua kuunda dorms ndio ifiche aibu
 
kuna thread Mombasa ilinyorosha dar is slum. ....zanzibar ni shade wameweka kwa ufuo wa bahari ati hotels. ....hiyo ujinga uishe.atleast mwarabu ameamua kuunda dorms ndio ifiche aibu
Mm hua staki maneno eka thread andika mombasa lamu and diani vs znz in hotel beaches alaf uone kama utatoka😀😀😀😀😀😀
 
Towers zingine ziko kando ya slums hapo dar is slum. ..... .same towers mnapiga picha 1000 angle tofauti.....
Nilishakwambia ukubwa wa dar chukua nairobi mombasa kisumu nakuru na eldoret huufikii
😀😀😀😀😀😀
 
Towers zingine ziko kando ya slums hapo dar is slum. ..... .same towers mnapiga picha 1000 angle tofauti.....
Na nyinyi mbona mnapiga 100,000 pics on different angels lakini pale pale japo sisi tuna CBD kibao. We are not fools
 
Back
Top Bottom