ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Mzito anasumbuliwa na njaa.....😀😀😀😀Wa
Wazito tunajitengenezea wepesi mnakocopy
Nilifkiri mwepes ndio asumbuliwe na njaa
Au unamaoni gani?????
Mzito anasumbuliwa na njaa.....😀😀😀😀Wa
Wazito tunajitengenezea wepesi mnakocopy
Sisi hatueki minara au ulifkiri kuna mnara wa nusu jengo nusu mnara😀😀😀😀😀Architecture zero
Vumilia ndugu najua unaskia uchungu sanaHiyo mwanza yao si eldoret ilifunika sawasawa.....hahaha. ..ati sijui rock city. ...blah blah
na mbona hazina shade yaani unachapwa mvua/ jua,,, mwanzo/ mwishoManzese pedestrian bridge
Shade uliambiwa nyumba hio watu wanalalana mbona hazina shade yaani unachapwa mvua/ jua,,, mwanzo/ mwisho
Kuna mnara full...mnara ni modern architectureSisi hatueki minara au ulifkiri kuna mnara wa nusu jengo nusu mnara😀😀😀😀😀
Hio mnara sio jengo hio ni kama sign au symbol ya mji fulani.....Kuna mnara full...mnara ni modern architecture![]()
Sikuskii...😀😀😀😀 mwanza ina population of almost 3 million people mwanza ulioenda wewe ni ya 90s and now is 2017......nenda tena utajionea
sawa. ndio maana nyinyi Ldc.Shade uliambiwa nyumba hio watu wanalala
😀😀😀😀😀😀
Inaitwa Eiffel tower kwani tower ni symbol..nlikuambia ujinga ukonayo haina dawaHio mnara sio jengo hio ni kama sign au symbol ya mji fulani.....
Tafuta hizo picha utajua za mwaka gani
So hapo kuna ofisi za watu kuna makazi ryt????Inaitwa Eiffel tower kwani tower ni symbol..nlikuambia ujinga ukonayo haina dawa
tafuta kifuta machoziTafuta hizo picha utajua za mwaka gani
Unatuekea picha za 2005
Hakuna mji umechange kama mwanza
Na umekua haraka sana utake usitake
Huo ndio ukweli utake usitake picha za 2005 hzotafuta kifuta machozi
Eti sasa hivi 4 Towers😀😀😀😀, Yaani nyie ni vichekesho, soon mtakua mnameza matapishi yenu.without these 4 towers Mombasa imewashindia kila kitu.mmewashindia tu population
Tumia google msee....iko na lift btwSo hapo kuna ofisi za watu kuna makazi ryt????
😀😀😀😀 hebu acha kua mjinga
Status ya britam unaeza fananisha na eiffel tower????????
Hii inajengwa kwa wapi??