Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kumbe loan [emoji1787][emoji1787][emoji1787] hadi raha na unaeza kuta commercial loan [emoji116][emoji116][emoji116] yes its true commercial loanView attachment 1650633

Msikie treasury wenu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] scandle inakuja soon
5km = 14b ksh hahahha aisee
View attachment 1650634
Asante kw kutujuza kwamba huu mradi umerudi[emoji1787][emoji1787]
 
Tatzio haikujengwa na wakenya[emoji1787][emoji1787]
Labda useme unaongea kw machungu
Si ni wale wale wachina waliowafanya kwenye SGR au sio hao🤣🤣🤣👇👇👇 wakawaambia wanawajengea SGR ya 21st century kumbe ya miaka 100 iliopita au mushasahau
3E99D5FF-3405-4567-A953-9C2C96FB1E3B.jpeg
 
Mwiba huo[emoji1787][emoji1787]
Hapa utakuja sahau maneno yako, mwakani imekua sumu[emoji1787][emoji1787]mnashangaa meza imepinduliwa

SGR vipi? ndo mmeisusa kbsa? pumzi zimekata? while sisi tumetangaza tenda ya Isaka-Mwanza.. soon tunatangaza tena ya Makutupora-Isaka moja kwa moja.. na hii anapewa mchina (ni ndefu na inatakiwa iishe haraka)
 
Nimefurahi kuskia ni commercial loan alaf nimefurah kuskia 5km railway ita cost 14b[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

ingia hapa ujiskilizie mwenyewe

Tupe reli yenu 1km ili cost ngapi, manake yenu mabehewa kivyake vyake
 
SGR vipi? ndo mmeisusa kbsa? pumzi zimekata? while sisi tumetangaza tenda ya Isaka-Mwanza.. soon tunatangaza tena ya Makutupora-Isaka moja kwa moja.. na hii anapewa mchina (ni ndefu na inatakiwa iishe haraka)
We kawaida yako kujiropokoea tu, sgr yetu yaonyesha inakuumiza sana...
Ila mda ndio utaongea vizuri, lkn huu mwaka si mutapata maradhi ya moyo
 
Si ni wale wale wachina waliowafanya kwenye SGR au sio hao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116] wakawaambia wanawajengea SGR ya 21st century kumbe ya miaka 100 iliopita au mushasahau
View attachment 1650675
Emu tueleze vizuri engineer ichoboy, tuonyeshe km hyo ulijenga wapi hyo miaka 100 iliyopita
 
We kawaida yako kujiropokoea tu, sgr yetu yaonyesha inakuumiza sana...
Ila mda ndio utaongea vizuri, lkn huu mwaka si mutapata maradhi ya moyo

zimebaki siku 15 mwaka uishe.. kitu gan hiko kinipe maradhi ya moyo [emoji23][emoji23][emoji23]

mda upi huo? sgr si imeanza kufanya kazi na inanukia hasara tu.. niumizwe na chinese first class ?[emoji23][emoji23]
 
Hahahah!!si mlikua nyinyi mumeimba wimbo wa mwakani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
2020 mpka inaisha hyo mwakani bado tu, sasa sijui mtaziweka wapi sura zenu manake sai kila mahali ni kunajengwa tu
 
Back
Top Bottom