Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwhyo nyinyi hamuwazi nje ya circle kabisa, au unafikiria SGR ni mradi wa miak miwili mitatu..

Sa zingine hata km unatetea ujinga lkn usifikie level hii yenu bana, mnatisha sana kidunia katika anga za kutumia akili ipasavyo
😂😂😂😂😂 Wewe ni mpumbavu! Kwani watu wanaishi ndani ya station? Station ni sehemu ya kupita na ukubwa wake uko determined by the frequency of use! Station za Dar na Morogoro Ndio kubwa zaidi kwasababu ni miji yenye Idadi kubwa ya watu hivyo usafiri katika miji hii ni very frequent. Sasa wewe kichwa boga unataka kuniambia mji kama Ngerengere unatakiwa uwe na station kubwa kama ya Morogoro? Hivi una akili kichwani?
 
Maana ya internet penetration ni followers wengi insta sio[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Huyo hapo maina kagemi hajafikisha hata 1m followers insta lkn millard kwake hamfiki hta kidogo kando na followersView attachment 1650760
Huyo unamfahamu wewe na wakenya wenzako ila Milard Ayo anafahamika East and Central Africa tena hadi nje ya bara la Africa anafahamika.
 
Matumizi sahihi ya akili ni kujenga kibanda cha kuku katika mradi wa takribani miaka 50 na kwenda sio[emoji1787]

Au bado nyie mnaendekeza rural urban migration hadi hivi sasa, tuelezeni tujue jamani
sisi tutaongeza ukubwa wa kibanda miji ikikua zaidi eneo husik,nyinyi mtavunja reli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],nugu wa kike.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wewe ni mpumbavu! Kwani watu wanaishi ndani ya station? Station ni sehemu ya kupita na ukubwa wake uko determined by the frequency of use! Station za Dar na Morogoro Ndio kubwa zaidi kwasababu ni miji yenye Idadi kubwa ya watu hivyo usafiri katika miji hii ni very frequent. Sasa wewe kichwa boga unataka kuniambia mji kama Ngerengere unatakiwa uwe na station kubwa kama ya Morogoro? Hivi una akili kichwani?
Akili watazitoa wapi na njaa hiyo?
 
Sasa mji km moro unaokua kw kasi vile ni wa kuujengea kitu ovyo km kile, kwn ni zizi la ng'ombe nn[emoji1787][emoji1787]

Tena umerudi pale pale km tz hamuwazi nje ya circle, sasa huu ni upupu gani ulioandika yani moro ndio haitokua baada ya miaka kumi..
Anyway tz miji yenu haikui mpla mngoje serekali wawajengee tena ma ofisi ya uma[emoji1787][emoji1787]
 
Huyo unamfahamu wewe na wakenya wenzako ila Milard Ayo anafahamika East and Central Africa tena hadi nje ya bara la Africa anafahamika.
Kufahamika kwake na kumzidi followera bado hakumfanyi yeye kuzidiwa na huyo mwamba[emoji1787][emoji1787]

Leta highest paid media personalitie wa tz tulinganishe na wa kenya uone km hamna lolote katika hyo sector
 
Sasa mji km moro unaokua kw kasi vile ni wa kuujenga kitu ovyo km kile, kwn no zizi la ng'ombe nn[emoji1787][emoji1787]

Tena umerudi pale pale km tz hamuwazi nje ya circle, sasa huu ni upupu gani ulioandika yani moro ndio haitokua baada ya miaka kumi..
Anyway tz miji yenu haikui mpla mngoje serekali wawajengee tena ma ofisi ya uma[emoji1787][emoji1787]
Nikiendelea kubishana na wewe na mimi nitaonekana mjinga. Baki na ujinga wako wa kikenya!
 
sisi tutaongeza ukubwa wa kibanda miji ikikua zaidi eneo husik,nyinyi mtavunja reli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],nugu wa kike.
Kwn sgr inadumu ndani ya miaka mingapi engineer[emoji848][emoji848]
 
Maana ya internet penetration ni followers wengi insta sio[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Huyo hapo maina kagemi hajafikisha hata 1m followers insta lkn millard kwake hamfiki hta kidogo kando na followersView attachment 1650760
Peleka ujinga huko...kumbe hata mana ya penetration ni shida kwako[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]km mko na watumiaji wengi wa internet manake lazima utaona hata watu marufu wakiwa n followers wengi
 
Kufahamika kwake na kumzidi followera bado hakumfanyi yeye kuzidiwa na huyo mwamba[emoji1787][emoji1787]

Leta highest paid media personalitie wa tz tulinganishe na wa kenya uone km hamna lolote katika hyo sector
Oneni hii certified nincompoop.

Najulia wapi mishahara ya watu?
 
hiyo yenu mmejenga ya miaka 70 iliyopita,ni ujinga kudhani itakaa hapo even 15yrs to come,wakati saa hii imeanza kuleta hasara[emoji38][emoji38][emoji38]
Mwaka huu imeleta hasara ya shillingi ngapi engineer
 
Peleka ujinga huko...kumbe hata mana ya penetration ni shida kwako[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]km mko na watumiaji wengi wa internet manake lazima utaona hata watu marufu wakiwa n followers wengi
Sema kukomalia vitu wala sio internet penetration, internet penetration maana yake sio followers midanganyika[emoji1787][emoji1787]
Rudi shule ua hta u google basi
 
Back
Top Bottom