Daraja lolote linaweza kuwekwa gate na magate yako aina nyingi so ilo darajalenu lina gate pale katikati kuruhusu boat kupita.Halafu kama unavyosema kuwa daraja hili halitafloat hapo katikati basi litafunguka vipi maana daraja zote zinazoweza kufunguka zinafunguka kwa sababu zinafloat. Daraja inayofloat ndio inayoweza kufunguka ila daraja fixed haliwezi kufunguka. Malazy mpo lazy kwenye kufikiria. Sasa kama litakuwa fixed kila mahali basi litafunguka vipi?
Wanapropaganda wa chama cha sisiemu wanafikiri kwamba Kenya ni LDC kama wao🤣🤣🤣🤣Mnazo tano pekee, proove me wrong[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inaweza kuwa ukweli kuwa mumefika 74% lakini serikali yenu inadanganya kwa kusema kuwa hio 74% inawafanya muwe nchi ya kwanza kwa kusambaza umeme Africa. Kumbuka nilipost hapa ripoti ya World bank inayosema kuwa Seychelles wana electrification rate ya 100%. Mauritius wana electrification rate ya 97.5% na South Africa wana electrification rate ya 91%. Wacha kufikiri kuwa kila kitu ambacho serikali yenu inasema ni ukweli hata kama inakinzana na data ya world bank.Tatizo lenu wakenya hamjui mambo mengi ya dunia, WB wanaweka ripoti kila baada ya miaka 3. By 2015 tulikua tumesambaza umeme kufikia vijiji 2000 pekee kati ya vijiji 12,000 vya Tanzania, ndani ya miaka mitano ya serikali ya Magufuli ameongeza vijiji 7000 kufikia vijiji 9000, hii inadi imetolewa katika hutuba ya Waziri katika bunge la bajeti, rais Magufuli katika hotuba zake zote amezungumza.
Sasa hivi Tanzania inaongoza Afrika kwa kusambaza umeme kufikia 74% ikifuatiwa na Nigeria 72%. Hizi data zitaonekana katika ripito za WB kuanzia 2019. Wewe lete hiyo ripoti ya WB inayosema ni 34% kama haitokua ya 2016 au 2017 na kurudi nyuma ambapo kazi ya kusambaza umeme kwa kasi ndio ilikua ikianza, wacha kujidhalilisha, WB ripoti zao zote wanazipata toka serikali husika, unahisi waziri au rais wanaweza danganya bunge na dunia nzima katika mambo kama hayo?,
Muulize mkenya yeyote aliyetembelea Tanzania kama alifika na kuona kijiji chochote ambacho hakuna umeme Tanzania, by 2021/22, vijiji vyote 100% vitakua na umeme Tanzania.
Hapa vipi, bado huamini?Siku hizi naona umerudi kudebate bila facts na kujaza uongo nyingi kwa post zako. Kwa mujibu wa World bank, electrification rate ya Kenya ni 75% na ya Tanzania ni 35%. Kitu moja yenye imeanza kuniudhi na JF ni kuwa Watanzania wengi hawazingatii facts katika mjadala wao. Mimi nashindwa kabisa kujadili na mtu yeyote asiyezingatia facts, data na evidence kwa mjadala wake.
Hii yote inaweza kuwa explained kitaalamu. Ukiuliza kwa heshima unaweza kujibiwa. Uchumi wenu wa Tanzania umejikita zaidi katika subsistence farming. Yaani upandaji wa vyakula kama mahindi mihogo, mboga na kadhalika. Mimea hizi hazileti faida kubwa kwa mkulima maana anaziuza tu kwenye soko la mtaani kwa bei ndogo.hakuna sehemu nimehoji kwamba uchumi wa tz ni mkubwa kuliko wa kenya,na wala hakuna mtz aliyesema hivyo katika huu uzi tokea coment no1.
sisi tunahoji huo ukubwa unapimwa kwa namba pekee au impact katika nchi husika!!
maana kwa ukubwa kutuzidi more than $38bln,hatukutegemea kwenye maisha tuwazidi sehemu nyingi tu muhimu.hasa ukizingatia sisi ni wengi kiwazidi.
Nimefuatilia nimeona itakuwa hivi.Itafloat vp ss wakati manguzo yameenda mpk chini [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Inawezekana kuwa TZ ina electrification rate ya 74%. Sipingi kuwa TZ ina higher electrification rate kushinda Nigeria. Mimi napinga kuwa hio 74% yenu ndio highest in Africa maana Seychelles wana electrification rate ya 100% na wao ni African country.Hapa vipi, bado huamini?
Tanzania outpace Nigeria in rural electrification rates - ESI-Africa.com
Improved efforts to deploying rural electrification across rural Tanzania has placed the East African country in the top slot in the African continent.www.esi-africa.com
Sasa kama hio ndio middle class ya Dar basi Dar yote ni slum. Unajua jinsi middle class ya Nairobi inavyofanana?
Again, unakosa kuelewa concepts, kuna nchi kama 7 hapa Africa ambazo zimefikia Universal electrification, hizo ulizotaja na baadhi ya nchi za Uarabuni ikiwemo Egypt. Tanzania inaongoza katika "Electrification rate", Tanzania ni namba 5 hapa Africa katika "Economic growth rate", Lakini ni namba kumi katika GDP, umenipata?Inaweza kuwa ukweli kuwa mumefika 74% lakini serikali yenu inadanganya kwa kusema kuwa hio 74% inawafanya muwe nchi ya kwanza kwa kusambaza umeme Africa. Kumbuka nilipost hapa ripoti ya World bank inayosema kuwa Seychelles wana electrification rate ya 100%. Mauritius wana electrification rate ya 97.5% na South Africa wana electrification rate ya 91%. Wacha kufikiri kuwa kila kitu ambacho serikali yenu inasema ni ukweli hata kama inakinzana na data ya world bank.
joto la jiwe usitoroke. Jibu huyu jamaa aliyepost hii picha.Wanapropaganda wa chama cha sisiemu wanafikiri kwamba Kenya ni LDC kama wao🤣🤣🤣🤣
View attachment 1648774
Gate lenyewe litafloat. Litawekwa pontoons.Da
Daraja lolote linaweza kuwekwa gate na magate yako aina nyingi so ilo darajalenu lina gate pale katikati kuruhusu boat kupita.
Sasa nyinyi mtaongoza vipi kwenye electrification rate ilhali kuna nchi kadhaa hapa Afrika ambazo zina higher electrification rate kuwashinda? Ama pengine huelewi maana ya electrification rate. Sitashangaa ikiwa huelewi tunachozungumzia.Again, unakosa kuelewa concepts, kuna nchi kama 7 hapa Africa ambazo zimefikia Universal electrification, hizo ulizotaja na baadhi ya nchi za Uarabuni ikiwemo Egypt. Tanzania inaongoza katika "Electrification rate", Tanzania ni namba 5 hapa Africa katika "Economic growth rate", Lakini ni namba kumi katika GDP, umenipata?
at all sikuwa nimetaja uzalishaji wa chakula kenya bado,una haraka sana.Hii yote inaweza kuwa explained kitaalamu. Ukiuliza kwa heshima unaweza kujibiwa. Uchumi wenu wa Tanzania umejikita zaidi katika subsistence farming. Yaani upandaji wa vyakula kama mahindi mihogo, mboga na kadhalika. Mimea hizi hazileti faida kubwa kwa mkulima maana anaziuza tu kwenye soko la mtaani kwa bei ndogo.
Kwa upande mwingine, Agricultural sector ya Kenya imejikita zaidi kwa commercial farming yaani upandaji wa mimea kwa ajili ya kuyaexport na kupata pesa nono kutoka kwa nchi za ulaya. Hio ni kumaanisha kuwa Kenya hatujajitosheleza katika upandaji wa chakula cha kila siku na inabidi tununue kutoka kwa majirani. Hio haimaanishi kwamba tuna uchumi mdogo bali inamaanisha kwamba hatujafocuss kwa kupanda mahindi bali tunapanda kahawa, chai, avocado, maua na kadhalika kwa minajili ya kuvuna pesa nono kutoka ulaya halafu tunatumia pesa hii kununua chakula kutoka kwenu.
Hadhi gani wakati mumeshachemsha tayari, eti mnajenga interchange kituoni yani akili zenu mnazijua wenyewe..Subiri iishe buda, hii ni zaidi ya nairobi sgr station. naona unataka kuzipa hadhi sawa upate pakutokea, hapa kunajengwa interchange za kutosha zenye tunnels
View attachment 1648641
Serikali inayodanganya raia ni serikali mfu.Inaweza kuwa ukweli kuwa mumefika 74% lakini serikali yenu inadanganya kwa kusema kuwa hio 74% inawafanya muwe nchi ya kwanza kwa kusambaza umeme Africa. Kumbuka nilipost hapa ripoti ya World bank inayosema kuwa Seychelles wana electrification rate ya 100%. Mauritius wana electrification rate ya 97.5% na South Africa wana electrification rate ya 91%. Wacha kufikiri kuwa kila kitu ambacho serikali yenu inasema ni ukweli hata kama inakinzana na data ya world
hatuna mda ni nyie....Copycut ya nairobi terminus, ndio muelewe sasa km jiwe miradi yake yote ni kutaka kushindana na kenya hamna lingine
Kwhyo hyo kumbe ni superhigway ya kijannja janja ili mkidhi mahitaji[emoji23][emoji23]Superhighway superhighway ushuzi wa komora, sisi tunajenga kulingana na mahitaji ya sasa na yajayo. tungetaka maonyesho tungeweka mbwembwe za kila aina na hapo inaendelezwa hadi chalinze then dual inafatia mpaka Dodoma. Najua hupendi ila itabidi tu ukubaliane na hali maana hamna namna nyingine 😀
Tanzania kw kilimo mnaingia kw egypt[emoji23][emoji23]Kweli we Una habari na unacho kizungumzia hivi unajua Tanzania ndio nchi inayo ongoza kwa uzalishaji wa chakula East Africa? Ki ufupi kadri mnavo Jenga magorofa Sisi tunaendelea na kilimo na miradi mingine muhimu sasa tusubiri kama mtakula matofali[emoji57]
Wewe umeishi Nairobi unajua.Sijui, hebu onyesha, ...
Uchumi wowote duniani lazima uanze katika kujitosheleza kwa mahitaji muhimu ya binadamu, ni jambo la kuchekesha na kusikitisha kwa nchi yenye uchumi unaotegemea kilimo kutegemea chakula cha kunununua toka nchi za nje, ni sawa na kusikia nchi yenye uchumi unaotegemea madini kama Almasi, lakini nchi hiyo hiyo ananua Almasi toka nchi za nje, au nchi inayochimba mafuta kama Qatar na nchi zingine za Kiarabu na Iran, kuagiza mafuta toka nje.Hii yote inaweza kuwa explained kitaalamu. Ukiuliza kwa heshima unaweza kujibiwa. Uchumi wenu wa Tanzania umejikita zaidi katika subsistence farming. Yaani upandaji wa vyakula kama mahindi mihogo, mboga na kadhalika. Mimea hizi hazileti faida kubwa kwa mkulima maana anaziuza tu kwenye soko la mtaani kwa bei ndogo.
Kwa upande mwingine, Agricultural sector ya Kenya imejikita zaidi kwa commercial farming yaani upandaji wa mimea kwa ajili ya kuyaexport na kupata pesa nono kutoka kwa nchi za ulaya. Hio ni kumaanisha kuwa Kenya hatujajitosheleza katika upandaji wa chakula cha kila siku na inabidi tununue kutoka kwa majirani. Hio haimaanishi kwamba tuna uchumi mdogo bali inamaanisha kwamba hatujafocuss kwa kupanda mahindi bali tunapanda kahawa, chai, avocado, maua na kadhalika kwa minajili ya kuvuna pesa nono kutoka ulaya halafu tunatumia pesa hii kununua chakula kutoka kwenu.