Hahaha, Bajeti ya nchi yenu ni karibu mara mbili ya Tanzania, lakini bado Tanzania inawazidi kwa mbali sana katika kila kitu, inajenga reli ya SGR, inajenga miradi miku wa sana ya umeme wa maji, inajenga barabara za njia nane, imeweza kujenga miradi ya umwagiliaji maji mara 4 zaidi ya Kenya, imeweza kusambaza maji miji yote hatuna shida ya maji, imeongeza uzalishaji wa chakula kufikia 120%
Bajeti kubwa ya jeshi lenu haina maana kamanashindwa kuwamalizs Alshabaab, sisi ndani ya wiki mbili tu tumewashinda magaidi wa Msumbiji waliosumbua kwa zaidi ya miaka mitatu sasa. KDF is the weakest Army in EA.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]