komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Nataka kukuumbua na nimeona unakwepaUnataka kujifunza kiswahili hapahapa jf![]()


Nataka kukuumbua na nimeona unakwepaUnataka kujifunza kiswahili hapahapa jf![]()


Hapo ni tanzania tena ile ya viwandaWasanii wetu wana hela,we unadhani akina marioo ni kama akina hao wasanii wenu njaa kali
Ila nimefurahi singeli nayo inatoboa internationaly




Enheeee!!umekuja vizuri..najua wasanii wa tanzania hawaachi kitu kabisa kw misifa..Check interview yake kaeleza wazi, Tanzania hakuna nyumba za Kenya, hahaha yaani joto la Dar watu waishi kwenye Kenyans houses how?![]()


hii ya leo leo
Vipi umekula cha mchana au unawaza ma RPG bado?Insha yote ya nn hyo jamani wakati jwtz hawaujui mziki wake, watu wa AK47 tu kule mtwara walivuka boder na wakafanya je ingelikua wana RPG
Cc: teargas kuna mwngine hku kaja ku support ujinga..Kenya au Congo typically



Usiombee mziki wa RPG uwakute wanajeshi wenu pendwaVipi umekula cha mchana au unawaza ma RPG bado?


Kale chakula cha mchana upumzishe akili usiwe na mawazo sana na hii thread...Usiombee mziki wa RPG uwakute wanajeshi wenu pendwa
Mtaimboleza hadi mshangae
Wewe cheka tu. Sisi tunaendelea kujengaProject ya mchina na anaepiga picha mchina akiangalia vile miaka 30 watakavyo wafanya 🤣🤣🤣🤣🤣
We ulishaona lini mi nika quote maboya ka wewe, we ndio umeshoboka ukaniquote kwhyo tulia zikuingie hapa wengine si wanenguaji..Kale chakula cha mchana upumzishe akili usiwe na mawazo sana na hii thread...
Na ujue mimi nakufundisha ww ila kuelewa ni juu yak.
Na hata usipende kuni qoute sana sibishanagi na vifaranga humu kuna wakenya walikuwa heavy na argument za maana walikuja wakapita we cha kukushauri ongeza uwezo wa kukusanya taarifa na kuchambua ili uweze kukuza uwezo wa kufanya midahalo na kukubali kushindwa ndio kunafanga argument iwe bora zaidi nje na hapo utaishia majigambo kama unavofanya na sio kujibu hoja.
Usipende kuaminisha umma kuwa wakenya wote nyie ni mafala bora ufunge mdomo
Kimara- Kibaha highway
Aliyewaambia hivi vitu vinavutia aliwadanganya sana,hivi mimi naenda kazini au natoka kazini nakutana na usafiri kama huu.,.siwezi kwa kweli,nid to calm myself, digest things...ukute humo ndani kelele mtindo mmoja.Mziki uko juu kweli kweli...hiv kwenu hakuna wakubwa?!.Tanzania BRT Vs Matwana Culture. Hiyo ndio level ya BRT and not Nairobi Commuter Railway
Leteni hizo sanduku zenu hapa sasa?
This is Matwana Culture
View attachment 1644962
View attachment 1644952
Usifikirie Kenya ni LCD kama nyinyi.Jeshi masikini kuliko
Prove kwamba hii ni WB, onyesha ni ripoti ya mwaka gani?Kwa hiyo Leo world Bank imekuwa taarifa za vichochoroni
Nyie mmeimeza propaganda ya sisiemu mpaka akili ikawapotea.
Data ya world Bank iko reliable zaidi na inasema Danganyika wana slums zaidi ya Kenya. Facts.
Hii hapa ndio hali ya LDC
View attachment 1647958





