Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_20201212_144920.jpg
 
Umeona sasa ulivyochanganyikiwa kw kukurupukia mambo..
Emu tuambie wewe mtu akitaka kujenga kitu kw low budget anatakiwa atumie material gani
Heee!! Msikie huyu tena!!!

Kwenye madaraja steel bridge ni expensive kwenye mantainance kuliko concrete bridge by small margin. Kweny construction hazina tofauti.

Lakini siyo kama iyo yenu iyo ni simple sanaaa, na kwa uku Tz izo bridge tunajenga kwenye streets na sehemu ndogo ndogo za mito kwajili ya watu kuvuka.. kwasababu ni fasta na cost zinapungua.
images (63).jpeg
100_2791.jpg
images (90).jpeg
 
Heee!! Msikie huyu tena!!!

Kwenye madaraja steel bridge ni expensive kwenye mantainance kuliko concrete bridge by small margin. Kweny construction hazina tofauti.

Lakini siyo kama iyo yenu iyo ni simple sanaaa, na kwa uku Tz izo bridge tunajenga kwenye streets na sehemu ndogo ndogo za mito kwajili ya watu kuvuka.. kwasababu ni fasta na cost zinapungua.
View attachment 1648142View attachment 1648143View attachment 1648144
images (93).jpeg
images (92).jpeg
69356903_2380648178875223_8602318314154229760_n.jpg

Yapo mengi sana steel bridges hapa TZ ila hayana thamani kama unavodhani,,,,
 
Eti jamaa anasema ukitumia steel coamst zinapungua
Km hujui kitu tulia jamani, manake hakuna mtu ambaye ata opt kutumia steel km budget yake ipo chini..
Kw sababu steel ni expensive
 
F-5 has a combat range of 956km while J-7 has a range of 850km.
F-5 has a climbing speed of 166m/s while J-7 has a climbing speed of 155m/s. Remember superiority of jets are determined by combat range (how far it can see from above.)
F-5 is second generation fighter jet, J-7 is third generation
 
Back
Top Bottom