A bunch of thieves
Magufuli ndio mwizi namba moja. Aliiba kura peupe.A bunch of thieves
Naona unazitaja tabia zenuKuna kitu nmejifunza kwmb wakenya mnatuonea wivu mno kwa maendeleo tuliyoyafikia so far mana mlikuwa mnasema you don't need brt now u have changed the motion kwmb mnashangilia![]()
Mbna unakwepa swali, umeambiwa NAMATA ndio nembo ya mabasi yetu sasa wewe km unajua sana reverse hyo picha manake naona umeshindwa kuleta nchi ambayo inatumia hilo jina kw mabasi yao ya BRTSo mnapishania kulia cku hz na abiria ni wazungu tu, wallahi jokes will never end![]()
Kha!!Unaona machinga, chokora hapo? Cheki usafi uliopo hapo bro mjifunze







Hicho ndio kituo cha dalala dar sio



The new Nairobi Commuter rail central station.What is this?
Kha!!
Si nlikwambia nitakuumbua jamani
Alafu nasubiria unionyeshe wamachinga katika ile picha umequote, lkn naona umeanza kujeuza gear anagani![]()
Bro Sisi tunafanya mambo kwa mpangilio cheki stendi ilivo kaa nawapa mda tuone stendi yenu ikigeuzwa muthurwa Ile soko yenuKha!!
Si nlikwambia nitakuumbua jamani
Alafu nasubiria unionyeshe wamachinga katika ile picha umequote, lkn naona umeanza kujeuza gear anagani![]()
Wow. Jesus. Where will it be built?The new Nairobi Commuter rail central station.
Kuna wazee roho zinawaume yani, acha tuLamu Port. View attachment 1645612