Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapa zingatia pia floating bridges are way far inferior to fixed support bridges bali floating hujengwa under emergence or special condition..

Japo kuna technology za ujenzi wa kisasa wa floating bridge ambao ni mzuri na unavutia lkn nyie mmejenga simple beam bridge with gate and you call it floating??

Ndo mana mnakua vituko!!!
Umeanda google ukapata neno beam basi unakuja kuturingishia hapa

Unajua hata hyo maana ya beam ni nn jamani au unajiropokea tu km kawaida yenu
 
Umeanda google ukapata neno beam basi unakuja kuturingishia hapa

Unajua hata hyo maana ya beam ni nn jamani au unajiropokea tu km kawaida yenu.
Kama nyie mlivoambiwa na uhuru floating bridge mkaanza kutusumbua kumbe mnajenda bridge ambalo jeshi la Tz lilijenga mwaka 79 wakati wanaenda kumpiga idd Amini U.G..
 
Kama nyie mlivoambiwa na uhuru flating bridge mkaanza kutusumbua kumbe mnajenda bridge ambalo jeshi la Tz lilijenga mwaka 79 wakati wanaenda kumpiga idd Amini U.G..
Mbna unakwepa sasa, twende taratibu bana
Maneno mengi hyo bila facts huo ni umama..
We unatakiwa utujuze beam intakiwa iweje na floating pia inatakiwa iweje vile vile, povu rukhsa
 
Me sio mwalimu wa engineering ila ntakufundisha floating linakuaje ila mengine katafute google.
 
Tuliza mshono basi, manake utachekwa kw kutoelewa mambo vizuri..
Itisha hata design uonyeswe wala sio kurukaruka tu hapa sio bar pale kinondoni
 
Sijasema kitu ila ni mfano mzuri wa walichoahidiwa watajengewa na wanachojengewa

#lowburgetfloatingbridge
IMG_20201211_232228_817.JPG
 
Back
Top Bottom