Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Some of your military planes are old and out of service. Kwa mfano ebu nionyeshe picha au video ya ile Antonov transporter plane ya jeshi lenu. Mara yake ya mwisho kupaa angani ilikuwa lini?

Nyinyi hamna uwezo kama huu wa Kenya.

Kenya's military transporter planes evacuating Kenyans from Ethiopia.

Hii mwaka jana ilisafirisha misaada ya chakula nk Malawi, Msumbiji na Zimbabwe.

Wewe endelea kuweweseka humu maana ndio kitu pekee unaweza.
m%2B(9).jpg
m%2B(8).jpg
 
The reason they cannot show their military planes is because most of them are old and out of service. Ziko tu Kwa scrap yard, they never fly .
Ebu watuonyesha picha za Ndege zao wakati zinatumika na majeshi yao, sio kwenda Kwa Google na kuleta picha za wazungu eti ni ndege za Tanzania
Acha kuwa km jinga wwe kiazi cha kuchoma....
 
Tuko na helicopters 79 wakati Tanzania helicopters ni 4
Endelea kujichoresha tu.. tena unawza sema tunazo mbili tu unazionaga humu kwa jf😂😂.. this man I cant but it is what it is. Wajinga ndo waliwao
 
Wakunya embu tuambieni strategy mtakayoitumia wakati Su-30 za Uganda na Mig-29 za Tanzania zikitia timu hapo failed state.

Nishaandaa popcorn na glasi ya wine kusoma ujinga mtakaouandika
Hakuna Mig-29 Tanzania, Tanzania only have J-7 jets. Mbona mnapenda kujiweka kwenye level hamuezani nazo?
 
Back
Top Bottom