babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,303
- 35,729
Hufahamu chochote.Hii ndio yenu na ndio unafaa kupost, sio kupost picha za watu wengine[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]. Najua ulifurahiswa na hizi additions which your helicopters lack[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji116][emoji116]View attachment 1646990
Ulitaka wafunge hizo additions kwani ni vita walikuwa wanaenda?
Au hufahamu kuwa kuna vitu hufungwa kwa kazi maalum?