Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sorry, mfumo wetu Tanzania ni slums, biggest slums, Kibera,
Nyie mnapiga domo hapa tu as if hamna slums. Tukilinganisha idadi ya urban population ya KE na TZ utayaona mambo wazi. kwamba idadi zaidi hapo kwenu ya urban population inaishi kwa slums.
Takwimu na utafiti wa kimataifa zinasema LDC wana slums zaidi ya Kenya 🤣🤣🤣🤣
12752170_1272373310164198slummiejpeg5bc74b217fc71e743256eb117c297b89jpegf7b2fea94750d28418635...jpeg
 
Atleast two have been entered service in 2015 so kwa akili yako air tanzania imeagiza ndege 7 mpya inamaana zitaingiza zote mwaka mmoja au???? helicopter za airbus za tanzania zinakutesa kichwa
Kusoma pia hujui. Wewe jamaa what are you best in really?. Wapi penye imeandikwa mliagiza ndege saba?
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hii ndio nilikua nasubiri mupost wallah Mungu atupe umri sisi tutaona vituko vya mwaka 2020
😝😝😝😝Najua sahii unaona wivu Sana,, imagine is one and only in EA,, floating bridge hehehe,,I like it🔥🔥😄
 
To be precise, according to reliable source (KEnHA) the bridge will be 450m,,longer than likoni bridge,,but kwa dongo kundu bypass there will be two Bridges measuring 600 km and 1.4km
🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇 kenha sio mm its 200meters
28C753C1-0FF3-40AA-8ABA-EEB3068915E6.jpeg
 
Mpaka dunia itasmama hzi mutaziskia kwa jina tu

Kwani lazima tukuwe na Airbus helicopters?. Imeandikwa wapi lazima Kenya ikuwe na ndege ya aina hiyo?. Alafu to make the matters worse it's only a transportation helicopter
 
😝😝😝😝Najua sahii unaskia wivu Sana,, imagine is one and only in EA,, floating bridge hehehe,,I like it🔥🔥😄
Nimecheka hii ndio likoni bridge mulikua munaisubiri miaka 50 🤣🤣🤣🤣 ila jubilee Mungu anawaona
 
Back
Top Bottom