Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna soko Tanzania?[emoji23][emoji23][emoji23]
00283FE0-840E-495F-AF25-8E6C242A4115.jpeg
B5AF4461-5644-44E9-B3A1-50F741E61B3D.jpeg
CC38482C-659B-46FB-B8DF-534CDE5D7721.jpeg
 
🤣🤣🤣🤣🤣 so haitaki au kwani uliskia vifaa vya jeshi ni sehemu ya maonyesho ???
Helicopters sio vifaa vya kuwekwa kisiri. Helicopters na Ndege nyinginezo za majeshi ya mataifa yote duniani zinajulikana.

Ebu niambie, hizo helicopters za Tanzania hakuna hata picha moja ambapo zimeonekana zikitumiwa au wakati wa training na flying exercises na jeshi lenu ?
 
Mm nakwambia ziko 13 hzi na zilinunulia na serekali mapaka kina zitto wakawa wanalalmika ww unaniletea porojo Teargass [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Leta picha, sijakuomba tweet[emoji23][emoji23][emoji23]. Mambo za wanasiasa usiniletee hapa[emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka sana hvi wakenya akili zenu ziko timamu kweli yani nilicheka mpaka basi

Tanzania will never have such kind of a bridge in your life time[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787].
 
Back
Top Bottom