Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Vitu kama hivyo ukiwa katika failed state huwezi kuvielewa kamwe..
Cheki akili za hawa jamaa Bora ujiepushe nao utaumwa na kichwa bro🙂
 

Attachments

  • FB_IMG_1606307192508.jpg
    FB_IMG_1606307192508.jpg
    26.6 KB · Views: 26
Propaganda ya CCM . Eti mlinunua helicopter 13 airbus? Ziko wapi? Kwani zimefichwa porini uko mtwara? 😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣 so haitaki au kwani uliskia vifaa vya jeshi ni sehemu ya maonyesho ???
 
Haha kwa renders inakaa poa Sana but in reality hakuna bridge ya maana inajengwa hapo,tena 2 lanes,hii bado sana
🤣🤣🤣🤣 bado sana nyinyi munajenga nn hapo mbona hamuleti ile floating pedestrian bridge ya likoni 🤣🤣🤣🤣 nimecheka sana ila jubileee
 
Haha kwa renders inakaa poa Sana but in reality hakuna bridge ya maana inajengwa hapo,tena 2 lanes,hii bado sana
Tender zilitamgazwa 2017 kumbe🤣🤣 alaf kumbe ni 200meters sasa unataka kushindana na👇👇👇
F9BCD288-181D-4875-85C7-D6AFCAC5C6AE.jpeg
 
Kwhyo ywalipwa mshahara km rais bado, kwa sababu mother hapo bado ilikua kibarua chake hakijaota nyasi

Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo mbona unakuwa mgumu kuelewa,alipoapishwa umakamu alipewa mkataba,ndo mshahara analipwa kulingana na mkataba,akiwa anafanya majukumu ya vice president havai jezi za ccm,lakini akivaa jezi za ccm,akiwa katika shughuli za chama,masuala ya usafiri,marazi,hufanywa na chama,si serikali,hizo helicopter zilikodiwa na chama,si serikali
 
The first and only floating bridge in East and Central Africa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Nimeona mumejengewa na jubilee ile floating bridge ya pale likoni nimecheka mpaka basi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom