Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

tapatalk_1498251506642.jpeg
 
by the way kwny hiyo pic ni km hivi...
1=manzese, kitongoji ambacho watu wake ni lower income mixer na normal income

2=tandale, one of worst places in dar by the way watu wake ni kipato cha chini
also that's the home of your favourite singer Diamond amezaliwa hapo na kukulia hapo
NB;kwa kigezo hicho usifananishe na your most worst Kibera, Mathare, Kisumu dongo, Korogocho etc

3=magomeni, that the one of best street arranged in Dar, watu wake ni kipato cha kati na kawaida...
hiyo aerial view isikupe shida but ukiwa on horizontal view ndo utajua why tc called magomeni

160c599dcdbc3187fefed711cacd473a.jpg
Kama ni mbaya ni mbaya. 92% of Dar is Slum.
Nairobi has only 6% slum and it is being upgraded. by 2020 hakutakua na slum
 
Kwani kweli hakuna njaa?? Had I solo la samaki Mombasa limeishiwa samaki.Kweli yani bora somalia kuliko Kenya bora ufe kwa risasi lakini sio njaa
tbh.. unabore na izi screenshot zako seriously.... tuko JF hapa. mambo ya twitter yabaki twitter. i hope message imefika
 
Tofauti ya Mr president wa sasa na waliopita huyu haogopi kusema ukweli,yuko very straight,haijawah kuruhusiwa mwanafunz kuzaa na kurudi shule za umma apa Tz, sio kitu kipya icho
THE OLDEST PERSON TO GO TO SCHOOL IN THE WORLD WAS KENYAN.
Hakuna ubaguzi hapo i am wondering why you support such crap,
That is DICTATORSHIP in this century, where education is a basic need.
Unaweza kukataja aje mtu masomo, kwani anasomea nani anakusomea wewe?!
Kunao watanzania ambao hawaungi mkono Pombe?
 
Lol kwa hiyo while inakuwa na wanafunzi au wazazi?? Achaulimbukeni. Nasupport kwa 100% sisiujinga hatutaki. Kaisha pata mimba wewe ni mlezi sio mwanafunzi

Ndoto ya ajabu hiyo vision 3100

about yesterday evening: (kula bata kidogo).
me and my colleague went to kigamboni to make the most of our weekend.

i took these photos while we were crossing through the kigamboni bridge,the only femous longest cable-stayed bridge in east africa.

damn!...the view is breathtaking.
a3cc610babd4a0f923290a16a65fdd1c.jpg

03736b6651eca29e9ca2e46c560d3282.jpg

11777e6bc798827590459879602cec6b.jpg

7b60c2b26eb48d8e5011410159cfad24.jpg

ae4b120f8012f9ccec8d04c71f52a016.jpg

e63a2a9b6475a22cf07588f9ba627cfb.jpg

5118b3ff725475c6cbe99ad3188fdd6a.jpg

some kenyans wakiona picha kama hizi zinapostiwa na watz huwa wanapata wivu sana.
 
Lol kwa hiyo while inakuwa na wanafunzi au wazazi?? Achaulimbukeni. Nasupport kwa 100% sisiujinga hatutaki. Kaisha pata mimba wewe ni mlezi sio mwanafunzi
Niambie ni nchi gani developed ushawahi sikia upuuzi kama huo. It's only in Africa, and Tanzania to be specific, you are letting us down with all your heart.
 
by the way kwny hiyo pic ni km hivi...
1=manzese, kitongoji ambacho watu wake ni lower income mixer na normal income

2=tandale, one of worst places in dar by the way watu wake ni kipato cha chini
also that's the home of your favourite singer Diamond amezaliwa hapo na kukulia hapo
NB;kwa kigezo hicho usifananishe na your most worst Kibera, Mathare, Kisumu dongo, Korogocho etc

3=magomeni, that the one of best street arranged in Dar, watu wake ni kipato cha kati na kawaida...
hiyo aerial view isikupe shida but ukiwa on horizontal view ndo utajua why tc called magomeni

160c599dcdbc3187fefed711cacd473a.jpg
Thanks for your honesty.
Ladies and gentlemen(mostly gentlemen) now we know how the most organized streets /houses in Dar look like.
And just out of curiosity, why does dar look like it's a one highway city? Am i missing something? Are there other highways serving that part of the city?
 
Back
Top Bottom