aganza
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 1,450
- 3,153
PoleSasa Aganza
PoleSasa Aganza
Middle economy ya kwenye makaratasi
Middle economy gani haiwez ku handle janga la njaa for almost 5 months now
Tuna ruwaza tunayoifwatilia kwa umakini,miradi ya Railways, international airports, LAPPSET, Bypasses, Ringroads, Skyscrapers, Oil pipelines, Highways, Devolution are all in our constitution, huku nyie mkikimbizana na sisi. Tafuteni katiba kwanza, mchore ruwaza ndo tuongeee, chasing wind with no windvane is nothing but a sham to Danganyikas
Namba mtaisoma kweli, usicheze na WIZI na UJANJA wa MKENYA!!!!
not povu that the true..as you guys say .....povuu
not povu that the true..
kunya kunya muache inferior
hayo mambo ya kujiona nyie ndo kila kitu kwa hii zone ni ushamba na shameless
yaan ingekua kuna JF nyngn ambayo ina consists na akina 9ja au SA sisi km TZ tungekaa kuangalia battle then sijui hata km mngefika 1k replays
kunya mtabaki kua kunya na Tanzania na itabaki kua hivii
we're on transitional by the way,, kwhy tegemea a lot of changes from us till 2020 kwanza despite the speeches za Uncle wetu Magu
Naomba urudie kauli yako kua vyuo vikuu havifkii nusu ya nini?????Watu wa LDC mna yepi? kisomo chenu ki wapi? miundo mbinu Dar is slum ni uchushi mtupu! Highways hamna, vijembe tu humu kujipa raha kwani hata vyuo vikuu havifikii nusu ya vya Kenya. Mtatuambia nini, mtasema yepi nyie watu tupwatupwa?
Humu inabidi uin
Sisi kwa sasa hatuitaji katiba tupo na Magufuli. Nie katiba imewasaidia nini? Hayo jubilee nimajambazi balaaa. Wamewasaidia nini.Tuna ruwaza tunayoifwatilia kwa umakini,miradi ya Railways, international airports, LAPPSET, Bypasses, Ringroads, Skyscrapers, Oil pipelines, Highways, Devolution are all in our constitution, huku nyie mkikimbizana na sisi. Tafuteni katiba kwanza, mchore ruwaza ndo tuongeee, chasing wind with no windvane is nothing but a sham to Danganyikas
Namba mtaisoma kweli, usicheze na WIZI na UJANJA wa MKENYA!!!!
Hii inaitwa shifting of the economy. Siku tukifunga viwanda vya nguo sijui niwakenya wangapi mtabakia uchi.Yeah tell then wanajichocha na miradi hewa.kwnza uchumi wenyewe upo chini.mtie bidii kwanza mfikie uchumi wetu ndo muanze kuwaza kuipita kenya.View attachment 529619hela ka hizi zangu tanzania unabeba na gunia
Tanzania ipi eti oooh tumewapiku? wapi highways, category 1 Airports, sea ports zi wapi?, Railways, Devolved units, Education, health, Malls, skyscrapers ,Human resource,Multinationals.....
Tanzanians will always trail till the end, second class people with NO education.....
stick to your LDC category first..... Namba bado tu ni kuisoma.
mapovuuu mengi ilhali kwenyu kuna kunguni na kipindupindu. SHM.wasomeshe watoto wao ndio wafikirie ku compete na kenyans.They are still 10 years behind
porojo...Tuna ruwaza tunayoifwatilia kwa umakini,miradi ya Railways, international airports, LAPPSET, Bypasses, Ringroads, Skyscrapers, Oil pipelines, Highways, Devolution are all in our constitution, huku nyie mkikimbizana na sisi. Tafuteni katiba kwanza, mchore ruwaza ndo tuongeee, chasing wind with no windvane is nothing but a sham to Danganyikas
Namba mtaisoma kweli, usicheze na WIZI na UJANJA wa MKENYA!!!!
The other thing sisi hatuwezi kuwaza kupita nchi isiyo kuwa na chakula. Sisi tunatafuta level za South Africa na ndo maana tuna reli inayofika hadi South Africa. Tunawaza ki SADC. Nakuona kwa radar mkipigania chakulaYeah tell then wanajichocha na miradi hewa.kwnza uchumi wenyewe upo chini.mtie bidii kwanza mfikie uchumi wetu ndo muanze kuwaza kuipita kenya.View attachment 529619hela ka hizi zangu tanzania unabeba na gunia
we kwanza angalia njia ambyo Brt inapitia kwanza. maskini tupu alafu unakuja apa ati nye nye nye.... go to hellKenya hamna brt
Mnakunguni kwenye matatu
Kipindupindu tena kwenye hoteli ambapo mkutano wa afya unafanyika
Mna njaa
ukipata bahati ya kuja Dar naomba niwe tourist guider wako for freely....we kwanza angalia njia ambyo Brt inapitia kwanza. maskini tupu alafu unakuja apa ati nye nye nye.... go to hellView attachment 529651