Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tofauti ya Mr president wa sasa na waliopita huyu haogopi kusema ukweli,yuko very straight,haijawah kuruhusiwa mwanafunz kuzaa na kurudi shule za umma apa Tz, sio kitu kipya icho
But hiyo ni kua backward sana....elimu ni basic need kama chakula na mavazi
 
Plaza na tower ni malls?

Is prestige plaza ..nairobi a mall or not?
Au wewe hauna ufahamu kwamba cio lazima neno mall litumike kumaanisha a shopping centre ..

A mall is just as a plaza just as a shopping centre
2afc5a5a08bfd588e8785cede8278fb6.jpg
 
What if one is raped....so you guys never give a second chance
Iyo sheria ilikuepo muda sana, na ndio maana mkuu kasema izo NGO Zinazopinga wajenge shule za wazaz kama wanaumia sana

Second chance ni private agharamike ,kumbuka sahv wanasoma bure primary and sec school hadi form 4
 
Ata case ya rape hawatambui?...then many would opt for abortion
 
Iyo sheria ilikuepo muda sana, na ndio maana mkuu kasema izo NGO Zinazopinga wajenge shule za wazaz kama wanaumia sana

Second chance ni private agharamike ,kumbuka sahv wanasoma bure primary and sec school hadi form 4
Na kama imekuwepo for long kwa nini watz wengi wanipinga
 
Na kama imekuwepo for long kwa nini watz wengi wanipinga
Wtz wengi wanapinga kufuata mkumbo...mimi sipingi mbona...
case ya rape kuna emergence contraceptive pills ambazo anapewa victim following rape,after inspection ,if the victim did not report the case untill when pregnant advanced then that is mistake!!

Aliebaka ikithibitika jela miaka 30 student apo ndio anabaki namtoto sasa
 
Ama kweli siku zimekwenda siamini leo wakenya wanatapika povu namna hii just 10 yrs
I remb dharau na matus waliokua wanatukana watanzania lakin mambo yamebadilika.......
Big up kikwete big up magufuli...😀😀😀😀
 
Hamna kitu imebadilika
 
Back
Top Bottom