Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

tapatalk_1498250231348.jpeg
Nai
 
not povu that the true..
kunya kunya muache inferior

hayo mambo ya kujiona nyie ndo kila kitu kwa hii zone ni ushamba na shameless

yaan ingekua kuna JF nyngn ambayo ina consists na akina 9ja au SA sisi km TZ tungekaa kuangalia battle then sijui hata km mngefika 1k replays

kunya mtabaki kua kunya na Tanzania na itabaki kua hivii
we're on transitional by the way,, kwhy tegemea a lot of changes from us till 2020 kwanza despite the speeches za Uncle wetu Magu
enda saidia ao wa9ja unaowasifia huku wafike 2k replAys
Kenya Is Ahead of Nigeria In All Aspect (Fact Don't Lie) - Politics (1203) - Nigeria
 
by the way kwny hiyo pic ni km hivi...
1=manzese, kitongoji ambacho watu wake ni lower income mixer na normal income

2=tandale, one of worst places in dar by the way watu wake ni kipato cha chini
also that's the home of your favourite singer Diamond amezaliwa hapo na kukulia hapo
NB;kwa kigezo hicho usifananishe na your most worst Kibera, Mathare, Kisumu dongo, Korogocho etc

3=magomeni, that the one of best street arranged in Dar, watu wake ni kipato cha kati na kawaida...
hiyo aerial view isikupe shida but ukiwa on horizontal view ndo utajua why tc called magomeni

160c599dcdbc3187fefed711cacd473a.jpg
 
Back
Top Bottom