komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Mbna hueleweki wewe jamaa bana, yani unaruka ruka tu hata hujui unataka nn..Bro Sisi tunafanya mambo kwa mpangilio cheki stendi ilivo kaa nawapa mda tuone stendi yenu ikigeuzwa muthurwa Ile soko yenu
Mara hili mara lile..
Anyway hyo ndio kawaida yenu watz tunawajua
