Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ohhh nye nye nye sisi tuna best health care 🤣🤣🤣👇👇👇

 
Sitaki kuamini hizi ndio bus za BRT kenya
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
View attachment 1644944

MUNGU WASAIDIE WAKENYA
emoji23.png
Hiii kwao bado ndoto Nairobi bado sana
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇 covid millionares

 
Haha

Sio culture ni umaskini. Centre au fuzo au isuzu used from japan pamoja na modification na hazizidi 50000$.
Bus aina ya yutong minimum price 130000$.
Mnashindwa kuaford mnajifanya matatu culture, yani culture kusafirisha binadamu kweny fuso?? Angalia culture hii apa chini.

View attachment 1644907View attachment 1644909


View attachment 1644910
Kwn hayo mabasi ndio mnatumia kusafirishia watu dar
Acha ujinga wewe au unafikiria hku pia hatuna mabasi ya mikoani, nimeshakwambia tayari tokea mwanzo..km hujui kitu usione aibu kuliza..

Alafu unasema eti nganya ni umaskini, we kumbe hujui kitu ni maneno tu km kawaida yenu watanzania..zaidi ya ya kupiga domo kilichobaki kichwani weupe..

We unafikiria ile gharama wanatumia ku pimp ngaya nairobi ni kila mtanzania anaweza mudu
 
Uko na ujinga sana, we make our own buses we don't import from outside the country like you
What!! Do you make mitsubish center? And fusoz??

Zamani dar kulikua na gari aina ya DCM zilikua zinakuja alafu tunazimodify lakini hatujawahi kusema tunatengeneza gari nyie mnaimport centre kwasababu ya shida na umaskini mnafunga body na kupiga rangi mnasema mnatengeneza 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣chinga khabhisaaaaa!!!!
 
Uko na ujinga sana, we make our own buses we don't import from outside the country like you
Sisi TZ ,kadi ya gari huonyesha idadi ya abiria na rangi ya gari.
Magari yenubyalivyochafuka kwa rangi hata huelewi rangi za gari.
 
Back
Top Bottom