Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hzi ndio daladala zao 🤣🤣 hawa watu wako miaka 20 nyuma

View attachment 1644137
Na hizi tuseme ziko miaka 100 nyuma ama?
1.JPG
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Hivi unaelewa unachokisema? Kwa hiyo county zenu zimegawanywa kwa kigezo cha rangi ya ngozi?
Unayasema wewe hayo[emoji1787][emoji1787]
Tembea kenya majungu hayatokupeleka kokote
 
Napenda wanawake weupe, wapo wanaume wanapenda wanawake weusi, wewe kama Mweusi usijiskie vibaya. Jiamini na ujweke vizuri tu na uwe msafi wa mwili na Roho utapata anaevutiwa nawe.
Usiwaonee wivu wanawake weupe
Umeanza kubadili gear hewani sasa, unafikiria hku ni dar mwendo wa make-up na mawigi
 
Link gani hata aliyeandika article under hilo gazeti ni views anataka..
Hakuna hta ushahidi aliouweka ni porojo tu kaandika
Na wewe weka article kama hiyo. 60% ya rice you consume is from Tanzania. Kenyans will starve without food from Tanzania, we feed you, we control you[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na wewe weka article kama hiyo. 60% ya rice you consume is from Tanzania. Kenyans will starve without food from Tanzania, we feed you, we control you[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata kw list ya nchi tunayo import mchele kw wingi hampo[emoji1787][emoji1787]
Sasa nakushangaa wewe kibwengo unapayuka tu
Screenshot_20201207-225003_Drive.jpg
 
Back
Top Bottom