Pambana na hali yako..
Tazama hii ni Juzi Saturday, maeneo fulani Lugalo kuna Mwana from TPDF alikuwa anaoa,
Huyu mtoto mweupe na mzuri sana wa chuo kikuu alilewa na akaniachia mkoba na Mali zake nikamtunzia huku akiserebuka Jerusalema kwenye Harusi, hakika nilimkirimu vema na nikamrudisha hadi hostel Kwake salama, atanitunuku tunda,
Sasa Nyie Wakunya na ufala na akili zenu ndogo na viongozi wenu walevi bado mnapeana updates za Covid-19 cases and deaths,
With all these beautiful life experiences how can't we keep our beautifu skins and complexion?
Ungekuwa ni wewe ungefanaje?
View attachment 1644090